Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

Hiyo mikoa ya Tabora kigoma ,Kagera na Mara na hata zanziba, kuwa wahamiaji wameshajaa , nawalishajua ukivaa nguo za ccm hakuna wakukugusa, wageni wamechukua mpaka mamraka Katika vitengo vyote hivyo.

Nenda hata Ile Katavi, makazi ya katumba kule Katavi , walishavuka mpaka mikoa ya mwanza wanajenga na kugombea . Ujasusi wa ndani na nje hatuna kabisa, tunaujasusi wa unakisema Nini chama na mkuu.
Hatari sana
 
Serikali imejipanga zaidi kustawisha the ruling class na kudhibiti dissenters kwa gharama yoyote!
 
Unapambana sana kuidogodesha nchi kubwa ya Tanzania mbele ya hicho kijiji.
Tanzania ni kubwa na huwezi kufananisha na hiyo failed state.
Ukubwa wa nchi sio tu eneo la mita za mraba. Unaweza kuwa na nchi kubwa alafu ikawa hopeless
Kibaha ni kubwa mara mbili ya nchi ya Singapore. Sasa jiulize maendeleo ya Singapore tunayafikia hata robo?
 
..kina nani wamuue, kamuue wewe, si unaona yuko very low.
kagame anaishi kama digidigi nchini mwake

viongozi wa jeshi hawaaminiani

ndio maana kila siku anabadili,kuaminiana hakuna

kuna siku atapigwa panga vizuri tu

huezi endesha nchi kama familia binafsi

na akisema aguse any east african super power,he is dead for real!
 
Congo na rwanda ipi nchi kubwa
 
Congo na rwanda ipi nchi kubwa
congo haina serikali....ni banana republic

dsyfunctional state

ndio maana yangu

kungekua na serikali inayofanya kazi na ni nchi hasa yenye mifumo,hakuna taifa africa can talk shit to them

rwanda is taking that advantage

sizungumzii ukubwa wa eneo mkuu,u got it all wrong

rwanda ni level za dsyfucntional states kama burundi na congo,they can never touch anybody else EA nzima,aache kuota ndoto za mchana
 
..aguse mara ngp? naona unajifurahisha tu.
 
Jamaa hizi nyuzi zako si bure vipi wewe ndio wale Kagame anawatumia kuhalalisha ujinga wake kua wananchi wanamuunga mkono? Kama kule Goma na Bukavu.

Kaishi Rwanda kama unaipenda sana
 
Kagame hana lolote. Ipige vita CCM ila sio kuunganisha na ujinga wa kagame
 
Huwezi kutenganisha kuanguka kwa Taifa letu na CCM
Uko sahihi kabisa mkuu, lakn hana nguvu yoyote, anaingalia DRC, Mgogoro uliopo Kenya na Sekeseke la uchaguzi TZ anahisi anaweza kufanya lolote.
Aendelee na DRC, TZ hamna ujinga huo
 
Tanzania is a cosmopolitan state. Hayo mambo ni kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…