Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

Hivi huyu PK hawezi kukamatwa kama Lissu? Maana naona wengi wanasema ni ka nchi kadogo tu.

Tumkamate awekwe lock up kidogo kama mwezi kisha aachiwe.
 
Hivi huyu PK hawezi kukamatwa kama Lissu? Maana naona wengi wanasema ni ka nchi kadogo tu.

Tumkamate awekwe lock up kidogo kama mwezi kisha aachiwe.
Hamjajifunza tu na alivyowafanya kule Goma juzi juzi?
 
Tumefikia hatuna ya kuwateua wanyarwanda kuwa viongozi wakuu wa tassisivzetu!
 
Tumefikia hatuna ya kuwateua wanyarwanda kuwa viongozi wakuu wa tassisivzetu!
Yote haya chanzo ni CCM.

CCM wako serious kwenye suala moja tu. Kuendelea kuwa madarakani na kuendelea kulifaidi hili Taifa na rasilimali zake kwa kujijengea ukwasi wa kutisha hasa kwa Viongozi wake na makada waandamizi.

Hawana habari ya kujenga mifumo imara ya Taifa hili kulifanya kuwa imara kwa miaka 100 ijayo.

Hawana habari ya kulijenga Taifa imara kiuchumi ambalo Wananchi wana maisha mazuri na wako salama dhidi ya maadui wa ndani na nje. Wao wanaangalia maadui zao tu katika kuahika dola hasa vyama vya upinzani na wananchi wenye akili wanaokosoa mienendo yao.

Kwa hali hiyo kwa nini maadui wa nje wasitake advantage?
 
..aguse mara ngp? naona unajifurahisha tu.
watutsi mna matatizo ya akili

naona israel inafanya yake huko middle east nyege mnapata nyie

mtakuja kuchomwa moto mara ya pili mkiwa mnaona na macho,ile 1994 haijawatosha

aguse tanzania aone

mna vichaa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…