Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

Hivi JF mobile version haina "like" ? anyway napita kimya kimya....
 
namuuliza aspirin maana yeye ndo kaweka dhamira ya kumchuna daughter,just imagine!
Ndio mana nimeshangaa, kwenu hakuna wazee au, manake unawezaje kumtukana mzee kama ODM hadharani?
 
Ndio mana nimeshangaa, kwenu hakuna wazee au, manake unawezaje kumtukana mzee kama ODM hadharani?
mbona unachanganya mambo dear? Aspirin ndo anataka kumchuna Daughter! just imagine!
 
Mimi kwangu unaweza kufanya hivyo vipengele vyote halafu ikala kwako..........Hii haina maana kwamba huwa sihongi, nahonga sana tu.
 
Hehehe! Sasa si umetoa tuishieni mwenyewe? Ndio naanza praktiko mwenzio!
tatizo wewe tayaru una apartment oysterbay,sasa target yako wewe itakuwa nini,nyumba london? Si ntaua watoto sweetie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…