Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bishanga!Akikusikia bibi yako SL utalijua jiji!
Khaaa! Astaghkafirulah Bashaija!uchune kwani wewe Mariooooo?
sweetie!
Ndio mana nimeshangaa, kwenu hakuna wazee au, manake unawezaje kumtukana mzee kama ODM hadharani?namuuliza aspirin maana yeye ndo kaweka dhamira ya kumchuna daughter,just imagine!
Hehehe! Sasa si umetoa tuishieni mwenyewe? Ndio naanza praktiko mwenzio!mmmmmmhhhhhh
naota naota nachunwa eehhhh
(source:Mbaraka Mwinshehe Mwarukwa-RIP)
Makubwa!!!mbona unachanganya mambo dear? Aspirin ndo anataka kumchuna Daughter! just imagine!