How dare you kumtaja sakapoko rejao kwenye hadhara hii? Hivi ukitaja wanaume NA rejao yumo? Tenaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
Unamtaka? Sasa Aspirin unataka tuuane,yaani ka investment kote ambako nimewekeza kwa konnie we uje umchukue tu?
:juggle::A S-coffee:😛hoto:
Good! Unatumia zile style za danganya toto.......... Hapo B keshakuamiiiiiiini!he he he, babu ODM hana lolote
mafua tu
Napenda ile style yako ya kung'oa ndevu kwa meno......... Hakikisha umepiga mswaki kwa closeup.byshernger akiondoka nakuja kukung'oa ndevu
Eti eh? Nshapanic,maana ujue sa hizi ndo nalipia Lori la mchanga lije site.
Good! Unatumia zile style za danganya toto.......... Hapo B keshakuamiiiiiiini!
Napenda ile style yako ya kung'oa ndevu kwa meno......... Hakikisha umepiga mswaki kwa closeup.
Mapazia ya nini wakati dirisha kioo full tinted?....... Na nani alikudanganya ODM anakuwaga nyumba ndogo?........ :eyebrows:ha ha ha, babu ODM wewe umeshaota mapembe
hufai kuwa nyumba ndogo
yanni unapepesa miguu dirishani wakati hujafunga mapazia??
Mapazia ya nini wakati dirisha kioo full tinted?....... Na nani alikudanganya ODM anakuwaga nyumba ndogo?........ :eyebrows:
Hapana mie nachuna....... Unataka nikuchune?uwe nyumba ndogo uwe nyumba kubwa,muhimu ni UNACHUNIKA?
Hapana mie nachuna....... Unataka nikuchune?
Nikimpata namchuna afu na wewe ntakuita uje unichune.... unasemaje hapo?..... baada ya hapo tunachunana....... we unanichuna hela, mi nakuchuna ngozi....deal???kuchunwa hapana aisee mi mwenyewe nachuna.jana nilisikia unamfuatili mwanaasha jakaya vp ulifanikiwa kupata japo namba za simu?
Nikimpata namchuna afu na wewe ntakuita uje unichune.... unasemaje hapo?..... baada ya hapo tunachunana....... we unanichuna hela, mi nakuchuna ngozi....deal???
Kinauzwa milioni mia ngapi? Hutu tuploti twa milioni 80-90 ni kujitafutia tu migogoro na wauza mitumbaaki mangi hapo umeuwaa..bonge ya dili aisee.kwa kuanzia ebu pita pale kwenye matangazo kuna kiwanja kinauzwa.fanya makeke nione umahiri wako
kuna wengine wanalilia kuchunwa kabisa
machozi meeengi
kama avatar ya mkata kiu
nice uzi ngoja ni uprint fasta ili niumeze zaidi...