Hata aseme bure siwezi kupoteza muda wangu
Bora nikacheze draft
Hivi kinachomata ni ukongwe au hits? Usitokwe na povu sana, ingia Youtube tafuta show za mr. Falvour na za Diamon zipi zinajaza sana. OverAcha kujidanganya mr flavour ni legend , ni msanii mkubwa sana level zake ni kina psquare
Alafu wanabisha eti ni uongo hapigi show kwa Tzs80Million wakati wakenya wanasema alipiga show kenya kwa Ksh 4Million! Labda watubadilishie million 4 za Kenya kibongo bongo ni millioni ngapi?Mwenzenu kenya
Masaa 2 kampiku pesa ya mshahara wa Rais wa kenya
Mkuu diamond kweli ana hela hatukatai ila pia kuongeza sifuri kweny mahojiano yake inawezekana, kwani angesimama omy dimpoz na kusema kuwa ana bilion 8 bank ungekataa? Au ye alionesha uthibitisho kuwa kweli ana bilion 8, ata ww kwa watu wanaokufahamu na hadhi yako unaweza kuwaamba nina milion 500 benki wao wataangalia the way unavyojiweka tu na either watakubali au watakataa, so diamond anasema pesa ndefu akiwa anahojiwa ili kupandisha hadhi yake, hpo mapromota wakitaka huduma yake wanakuwa wanafkilia huyu jamaa alisema ana bilion 8 bank na anatoza milion 87 so ili ata tu kuanza kubagain razima angalau tuwe na milion 50Mwishoni mwa mwaka jana alikua na sh.bil8 benk
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata mm apige shooo kwa jiran siendi[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hata aseme bure siwezi kupoteza muda wangu
Bora nikacheze draft
Mkuu ni kweli alilipwa kenyan shilings 4million kama kenya walivosema.hapo juu kwenye link iliyotolewa, kwa hela za kibongo ni milioni 86 laki 2 na 49 elfu, mia tatu na 2 na senti 60.Alafu wanabisha eti ni uongo hapigi show kwa Tzs80Million wakati wakenya wanasema alipiga show kenya kwa Ksh 4Million! Labda watubadilishie million 4 za Kenya kibongo bongo ni millioni ngapi?
Numbers never lie mkuuMkuu ni kweli alilipwa kenyan shilings 4million kama kenya walivosema.hapo juu kwenye link iliyotolewa, kwa hela za kibongo ni milioni 86 laki 2 na 49 elfu, mia tatu na 2 na senti 60.
Over!!
msanii mkubwa ni Mr. FlavourKwani mr. Flavour na Diamond nani msanii mkubwa? Au kwa kuwa mr. Flavour yupo Nigeria?
CHUKI za NINI dhidi ya MWEWE haujataga hata YAI moja..!?Hahaha roho zinauma mkuu ...
Pole sana mkuu. Bado una uzilipendwa. Angalia popote unapotaka ku prove majibu utayapata mwenyewe. Maana mmezoea ligi za maneno tumsanii mkubwa ni Mr. Flavour
Unajua Uhuru analipwa Kshs ngap??? au ndo.....Mwenzenu kenya
Masaa 2 kampiku pesa ya mshahara wa Rais wa kenya
Usimfananishe Mr flavaur na msanii wa mchangani pitia page yake huko youtube ukaone balaa lake huyo diamond kwa tekno tu inabidi akapashe!unadhalilisha platnumz almasi yetu....
Mr flavour si kama kina shetta...nigeria
Kweli mkuu..?Usimfananishe Mr flavaur na msanii wa mchangani pitia page yake huko youtube ukaone balaa lake huyo diamond kwa tekno tu inabidi akapashe!
Achen kudhalilisha watu nyie unaanzaje kucompare Mo na Diamond??? em pungzen mihemko baas jombaaaAise Kama ajaongeza 0 atakuwa anataka kumfukuzia Mo