Ukitaka kumpata Diamond for a show now..

Ukitaka kumpata Diamond for a show now..

Hata aseme bure siwezi kupoteza muda wangu

Bora nikacheze draft

Ila hukuweza kuupita uzi huu, bila kujua kilichojiri ktk maisha yake.... Eeeeh ndio habari ndio hiyoooo pia juu yake.
 
Hivi naomba kuuliza iv diamond hua hajishtukii sometime yan wewe ukigusa tu mahali panageuka almasi, yan kila anachogusa jamaa, yan unaserereka tu mwanawane hela zinakuja tu kama mvua we unazikinga tu na zinazidi kujaa tu non stop duuuuh
 
Acha kujidanganya mr flavour ni legend , ni msanii mkubwa sana level zake ni kina psquare
Hivi kinachomata ni ukongwe au hits? Usitokwe na povu sana, ingia Youtube tafuta show za mr. Falvour na za Diamon zipi zinajaza sana. Over
 
Mwenzenu kenya
Masaa 2 kampiku pesa ya mshahara wa Rais wa kenya
Alafu wanabisha eti ni uongo hapigi show kwa Tzs80Million wakati wakenya wanasema alipiga show kenya kwa Ksh 4Million! Labda watubadilishie million 4 za Kenya kibongo bongo ni millioni ngapi?
 
Mwishoni mwa mwaka jana alikua na sh.bil8 benk
Mkuu diamond kweli ana hela hatukatai ila pia kuongeza sifuri kweny mahojiano yake inawezekana, kwani angesimama omy dimpoz na kusema kuwa ana bilion 8 bank ungekataa? Au ye alionesha uthibitisho kuwa kweli ana bilion 8, ata ww kwa watu wanaokufahamu na hadhi yako unaweza kuwaamba nina milion 500 benki wao wataangalia the way unavyojiweka tu na either watakubali au watakataa, so diamond anasema pesa ndefu akiwa anahojiwa ili kupandisha hadhi yake, hpo mapromota wakitaka huduma yake wanakuwa wanafkilia huyu jamaa alisema ana bilion 8 bank na anatoza milion 87 so ili ata tu kuanza kubagain razima angalau tuwe na milion 50

hivo ndo mchezo ulivo ndg yangu sio tunashupaa kutokwa povu utazani tuliongozana nae bank tukaziona, mwezi uliopita alikuwa na show kyera so napo uamini kuwa walimpa milion 87??? Anyway sisi wote ni wadau tu wa mziki wake na tunafurahia maendeleo yake ila hatujui chochote kuhusu utajiri wake hyo issue wanajua mameneja zake na yeye mwenyewe ila ye anatake advantage kwetu kulingana na the way anavyo ishi kifahari ata akiamka kesho akasema ss nina bilion 50 uamini, so haina haja ya kushupaza shingo huku jf alafu mwenye hela ni mwingine ni ujinga, hebu nasisi tukatafute zetu kwanza, jion njema
 
Alafu wanabisha eti ni uongo hapigi show kwa Tzs80Million wakati wakenya wanasema alipiga show kenya kwa Ksh 4Million! Labda watubadilishie million 4 za Kenya kibongo bongo ni millioni ngapi?
Mkuu ni kweli alilipwa kenyan shilings 4million kama kenya walivosema.hapo juu kwenye link iliyotolewa, kwa hela za kibongo ni milioni 86 laki 2 na 49 elfu, mia tatu na 2 na senti 60.
Over!!
 
hajasema yeye kama anapesa hzo,hlo ni jarida la forbes na kuna mtandao mmoja upo nigeria na marekan pia walitoa takwimu hzo
 
Mkuu ni kweli alilipwa kenyan shilings 4million kama kenya walivosema.hapo juu kwenye link iliyotolewa, kwa hela za kibongo ni milioni 86 laki 2 na 49 elfu, mia tatu na 2 na senti 60.
Over!!
Numbers never lie mkuu
 
Aise Kama ajaongeza 0 atakuwa anataka kumfukuzia Mo
 
Back
Top Bottom