Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa.

Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa.

Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi.

Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto.

Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa.

Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka.

Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue.

Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live...


Donatila
😀😀, mkuu Kwani shetan ni nani??,
 
Hapo kwenye kuchepuka tu ndo shetani anakomoa kwenye ndoa. Lakini mengine ni shega tu.

Wee fikiria mke wako anachepuka anagongwa nje ikichomoka anairudisha kwa kuchomeka.

Yani hapo ze devoo anaumiza kichizi.
Upo sahihi, ila kila kitu kibaya kwa mtu kikimkuta..

Unaweza zaa watoto alafu anawapa utahaira au mashoga...

Yaani ni ili tu ukome maana shetani anagusa pale unapopapenda...

Hapo ndoa inageuka huzuni...
 
Ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine.

Mwanaume hana anachofaidi kwenye ndoa zaidi ya kuuza na kuweka rehani uhuru wake, maisha yake na maendeleo yake.

Mwanaume kataa ndoa kadri uwezavyo.
Hii huwezi kuolewa mpaka uwe kwenye ndoa, utakavyo jikuta huna uhuru tena, huna furaha tena huna maisha yako tena na kufanya iwe kinyume haiwezekani tena.
 
Huyu jamaa shetani huwezi mjua, anakaa kwenye vitu vizuri vinavyofurahisha...

Kama ndoa maana anajua ni agano la Mungu na anajua, sasa yeye analivunja...
Hakuna cha shetani wala nini, ni mind set tu! Huyo shetani ninani awe anacontrol ndoa zote kwa wakati mmoja, kawaida ya binadamu huwa anatafuta sehemu ya kutupia lawama .
 
Ndoa tkatifu!!!?[emoji24][emoji24][emoji24]

Ni ile Binti bikra na mwanamme Bikra Tena wanafundishwa mahali pa kuingiza!!

Sasa nyie Kila mmoja anajua halafu eti ni takatifu hiyo!!?hapow ni Sala ya toba TU na kuendelea kuishi na sio kufunga ndoa!!
Hata kama mkiwa mmeoana bikra wote mke na mume...

Mwamba shetani atakuja na tukio lake moja hata hiyo bikra hutaikumbuka...
 
Hapa katafutwa mbuzi wa kafara kabatizwa Jina la SHETANI. Kiasili binadamu hajaumbwa amchukue binadamu mmoja duniani kote aishi nae kwa kigezo cha eti kuanzisha familia. Ndo maana hakuna kitu kigumu kama kulala kitanda kimoja na mtu ambaye mmekutana ukubwani kwa muda usiojulikana. Hata mama yako au kaka yako au dada yako mliyeshea ziwa la mama mmoja huwezi kuvumilia kulala naye chumba kimoja milele mpaka kifo kiwatenganishe. Vitabu vya dini vinatuongopea, ndo maana kipindi kitamu na kizuri cha mahusiano ni mkiwa kwenye uchumba, sababu Kila mtu anakaa kwake, mnakutana kwa ishu maalum au outing, saa nyingine weekend nzima pamoja jumatatu Kila mtu kwake. Na kipindi chote hicho kuna vitu huwezi kuvijua hata ufanyeje kwasababu kila mtu anaamkia kwake. Shida huwa inaanza baada ya honeymoon ndo kila mtu anajiachia, hapo mnamuingiza SHETANI kuhusika kumbe ndo mmeanza kujuana vizuri. Ndoa zote zilizodumu ukiacha za kuvumilia tabia za wazee wetu, ni zile ambazo wapenzi wameishi pamoja hata miaka 10 pengine hata na kupata watoto, halafu wanafunga ndoa baadae. Sababu hakuna aliyeigiza kabla ya kufunga ndoa. Hizi nyingine za mtu anaigiza Ili mfunge ndoa, baadae lazima mapichamapicha yaanze mkimbilie kusingizia SHETANI. SHETANI ni kichaka cha kutokukubali ukweli. Na jamii nzima imekubaliana na huo unafiki. Ndoa lazima litaendelea kuwa kaa la moto mpaka siku binadamu akiacha UNAFIKI.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.

Donatila
Sema kosea kuoa au kuolewa maana sio ndoa zote zina madudu hayo! Wengine tunajilaumu tulichelewa kuoa
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.

Donatila
Aiseee kwa hiyo mmekuja kwenye conclusion kuwa vijana wa kataa ndoa mliokuwa mnawaona vijana wa hovyo kumbe ni magenius kabisaaaa 🤣🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom