Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kabisa ni kali kuliko kali yenyewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama movie vile...
Huyu jamaa shetani huwezi mjua, anakaa kwenye vitu vizuri vinavyofurahisha...Mnamuonea sana Shetani.
MATENDO YENU WENYEWE MNASINGIZIA SHETANI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hapo kwenye kuchepuka tu ndo shetani anakomoa kwenye ndoa. Lakini mengine ni shega tu.Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka.
Sio kweli.Huyu jamaa shetani huwezi mjua, anakaa kwenye vitu vizuri kama ndoa maana anajua ni agano Sasa yeye analivunja...
😀😀, mkuu Kwani shetan ni nani??,Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa.
Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa.
Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi.
Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto.
Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa.
Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka.
Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue.
Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live...
Donatila
Bila shaka hujasoma ukaelewaKwa hyo mkuu ndani ya nyumba mkee tu ndio anaweza kuwa shetan [emoji23].
Mwanaume yy hawezii kuwa shetan ndio maana akakuoa ww shetan mwenzake mje mshetanike vizuri ndan ya nyumba[emoji23]
Upo sahihi, ila kila kitu kibaya kwa mtu kikimkuta..Hapo kwenye kuchepuka tu ndo shetani anakomoa kwenye ndoa. Lakini mengine ni shega tu.
Wee fikiria mke wako anachepuka anagongwa nje ikichomoka anairudisha kwa kuchomeka.
Yani hapo ze devoo anaumiza kichizi.
Hii huwezi kuolewa mpaka uwe kwenye ndoa, utakavyo jikuta huna uhuru tena, huna furaha tena huna maisha yako tena na kufanya iwe kinyume haiwezekani tena.Ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine.
Mwanaume hana anachofaidi kwenye ndoa zaidi ya kuuza na kuweka rehani uhuru wake, maisha yake na maendeleo yake.
Mwanaume kataa ndoa kadri uwezavyo.
Hakuna cha shetani wala nini, ni mind set tu! Huyo shetani ninani awe anacontrol ndoa zote kwa wakati mmoja, kawaida ya binadamu huwa anatafuta sehemu ya kutupia lawama .Huyu jamaa shetani huwezi mjua, anakaa kwenye vitu vizuri vinavyofurahisha...
Kama ndoa maana anajua ni agano la Mungu na anajua, sasa yeye analivunja...
Hata kama mkiwa mmeoana bikra wote mke na mume...Ndoa tkatifu!!!?[emoji24][emoji24][emoji24]
Ni ile Binti bikra na mwanamme Bikra Tena wanafundishwa mahali pa kuingiza!!
Sasa nyie Kila mmoja anajua halafu eti ni takatifu hiyo!!?hapow ni Sala ya toba TU na kuendelea kuishi na sio kufunga ndoa!!
Sema kosea kuoa au kuolewa maana sio ndoa zote zina madudu hayo! Wengine tunajilaumu tulichelewa kuoaHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
Aiseee kwa hiyo mmekuja kwenye conclusion kuwa vijana wa kataa ndoa mliokuwa mnawaona vijana wa hovyo kumbe ni magenius kabisaaaa 🤣🤣🤣🤣.Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
Naona shetani mwenyewe amewasili kupigilia msumari futi 10 😂😂😂Ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine.
Mwanaume hana anachofaidi kwenye ndoa zaidi ya kuuza na kuweka rehani uhuru wake, maisha yake na maendeleo yake.
Mwanaume kataa ndoa kadri uwezavyo.
Mpaka aoe kwanza huyu jamaa dronedrake, na mimi ndo nitafuatia 😄😄Hujamjua Bado, au unatania...
Funga ndoa utamuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]