Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
acha kabisa hizi ndo zina hatari yake na mazuri yake ni kucheka na kulia.😂😂ukweli mtupu yaan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kabisa hizi ndo zina hatari yake na mazuri yake ni kucheka na kulia.😂😂ukweli mtupu yaan
Wewe ya kwako ikoje?Inachekesha lakini inahizunisha, watu wanaishi ila ndoa za magereza...
Huu ni ukweli mchunguNdoa ni utapeli kama utapeli mwingine.
Mwanaume hana anachofaidi kwenye ndoa zaidi ya kuuza na kuweka rehani uhuru wake, maisha yake na maendeleo yake.
Mwanaume kataa ndoa kadri uwezavyo.
Umepiga kwenye mshonooo..!!!Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.
Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.
Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.
Donatila
Hapa Sasa, mwanamke alikuwa hakutaki ila ukioa anaanza kukutumia SMS.Ukioa tu ndio watoto wazuri utawaona na wale ote walokukataa watakukubali
Unashangaa dada mzuri mbona ananipiga ngumi za mandonga..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Full kuvumiliana kwa kweli💆acha kabisa hizi ndo zina hatari yake na mazuri yake ni kucheka na kulia.
na kama huna icho kipaji ni kheri ubakie na ubachela tuu kwa kweli manake kule ni shuguli pevu.Full kuvumiliana kwa kweli💆
Yaaani ni kwangu yuko chumbani na kwenye property na majigambo, mm nimemwambia Shetani sikuwezi nimeondokaUnashangaa dada mzuri mbona ananipiga ngumi za mandonga..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ningekua mkristo nisinge oa kabisa, ndoa ya kikuristo ina kufanya mwanaumme kua mtumwa wa Mwanamke af uko gerezani hutoki umefungwa wa kifungo cha maisha, wanawake wenyewe ni know much loh!!!Ukristo wa kileo ndii uliharubu ndoa baada ya kuifanya kuwa kinga ya wanawake na wanaumenkuwa wahanga wakuu wa ndoa!!
Leo mwnamke akishafunga ndoa ndio ana jiona ana haki ya mgao wa Mali yaani mtaji was maisha kwa nguvu za mwanamme!!
Ndio maana tunashudia viburi vya kina mama huibuka na mwanamme rijali akiona hivyo Hana namna zaidi ya kifo kuwa ndio utatuzi wa tatizo coz akiona talaka inamnufaisha mwanamke Alie zaa watoto!Sasa atafanya ninni!!?kuua make au kujiua!ndio maamzi common Hadi sasa!
Wanaume hatujapata Tiba halisi ya ndoa inapoharibika zaidi ya kuua make au kujiua tafiti zinaonyesha hivyo!yaani una muwahi mwenzio kabla hajakutilia sumu kimya kimya ukafa Kwa ugonjwa was muda mrefu!!
Mfumo dume ulidumisha ndoa ndio sisi tukazaliwa na viongozi was Leo ,sasa mfumo dune unge be modified lakini serikali na dini wanaua kabisa mfumo dume hawajui bila mfumo duke hakuna ulimwengu Wala kustawi Kwa chochote kabisa fikiria viongozi was kesho,yaani kina samiah,kikwete,jpm was kesho yaani was uzao wako watakuaje!!we fikiria kama mfumo duke ulizaaa kina nyerere he mfumo jike utazaa kina Nani!!!?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mwanamke ulikuwa unamuona kama malkia,ghafla unaona unaishi na shetani,mpk unajiuliza hivi wakati namchagua huyu nilikuwa nimelogwa...
Kwa kifupi changamoto zinazo jitokeza baada ndoa ndio mtoa mada amezipa jina shetani.... Ile milima na mabonde wanandoa wanayo pitia ndo hivyo...Hapa katafutwa mbuzi wa kafara kabatizwa Jina la SHETANI. Kiasili binadamu hajaumbwa amchukue binadamu mmoja duniani kote aishi nae kwa kigezo cha eti kuanzisha familia. Ndo maana hakuna kitu kigumu kama kulala kitanda kimoja na mtu ambaye mmekutana ukubwani kwa muda usiojulikana. Hata mama yako au kaka yako au dada yako mliyeshea ziwa la mama mmoja huwezi kuvumilia kulala naye chumba kimoja milele mpaka kifo kiwatenganishe. Vitabu vya dini vinatuongopea, ndo maana kipindi kitamu na kizuri cha mahusiano ni mkiwa kwenye uchumba, sababu Kila mtu anakaa kwake, mnakutana kwa ishu maalum au outing, saa nyingine weekend nzima pamoja jumatatu Kila mtu kwake. Na kipindi chote hicho kuna vitu huwezi kuvijua hata ufanyeje kwasababu kila mtu anaamkia kwake. Shida huwa inaanza baada ya honeymoon ndo kila mtu anajiachia, hapo mnamuingiza SHETANI kuhusika kumbe ndo mmeanza kujuana vizuri. Ndoa zote zilizodumu ukiacha za kuvumilia tabia za wazee wetu, ni zile ambazo wapenzi wameishi pamoja hata miaka 10 pengine hata na kupata watoto, halafu wanafunga ndoa baadae. Sababu hakuna aliyeigiza kabla ya kufunga ndoa. Hizi nyingine za mtu anaigiza Ili mfunge ndoa, baadae lazima mapichamapicha yaanze mkimbilie kusingizia SHETANI. SHETANI ni kichaka cha kutokukubali ukweli. Na jamii nzima imekubaliana na huo unafiki. Ndoa lazima litaendelea kuwa kaa la moto mpaka siku binadamu akiacha UNAFIKI.
Umevuka hapo au unipe ujuzi mkuuNa hili limetukumba wengi
Shetani ni Fictional character anayetumiwa na wanadamu kuficha matendo yao maovu.Mnamuonea sana Shetani.
MATENDO YENU WENYEWE MNASINGIZIA SHETANI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Milima ile na mabonde ndio shetani mwenyewe...Kwa kifupi changamoto zinazo jitokeza baada ndoa ndio mtoa mada amezipa jina shetani.... Ile milima na mabonde wanandoa wanayo pitia ndo hivyo...
Kiualisia alicho sema kipo na mimi ni shaidi mbichi kabisa.
Mungu huyo, Anashindwaje kumdhibiti shetani huyo asiingilie Agano lake la ndoa?Huyu jamaa shetani huwezi mjua, anakaa kwenye vitu vizuri vinavyofurahisha...
Kama ndoa maana anajua ni agano la Mungu na anajua, sasa yeye analivunja...
Upo sahihi Mkuu.Shetani ni Fictional character anayetumiwa na wanadamu kuficha matendo yao maovu.