Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.

Donatila
Kwanza mtu unaoa ili ugundue nini?
Kwa haya maisha na hiki kizazi cha sasa simshauri mtu kuoa labda kama anatafuta kuwahi kufa(Nb: mimi nimeoa)
 
Marriage is not for everyone.

Wengine mtupishe huu mchezo ni zaida ya forex na aviator wake .[emoji28]

Zingatia:
Marriage is not for everyone.
Hata Kidini ipo hivo.
Hata kiunajimu na ulozi ipo hivo.
Hata kiuchumi na kiakili ipo hivo.

Wengine msithubutu haiwahusu.
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.

Donatila
One of the best of best thread of 2023.....
💯💯💯💯💯💯
 
Duh mkuu unatutisha inamaana kwako moto unawaka si utoke.
Chabgamoto za wa kwangu ni ndogo zinavumilika (nilioa lile toleo la zamani no: B)
Hanaga yale mambo ya haki sawa japo anafanya kazi idara nyeti ya "sirikali" lakini nikimkoromea ananywea! Mara moja moja huwa namzaba hata vibao ili kulinda heshima na hajawahi kunipanda kichwani.
 
Ila vijana wa siku hizi kukosa mafunzo na ujuzi wa mahusiano unawagharimu sana eneo la ndoa.

Sasa mtu umemchagua mwenyewe huko mtaani, ukaamua kwa utashi wako kuwa mtaishi pamoja, why iwe shida kukaa nae kama mwenzako.

Tabia za kushindana na upinzani uachane nazo mara tu unapoingia kwenye ndoa.

Tatizo utoto ni mwingi sana watu hawajifunzi kukua.
 
Back
Top Bottom