Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Vitara Mercedes SuzukiOya hii model gani? Mbona kachumbari?
Mercedes vitaraMTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu.
Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina ushauri wa maana kwanini nisikae kimya?
View attachment 3268694
20x20 unajenga nini ?! Labda banda za kukuSio gari tu...hata kiwanja pia...watu wengi humu wanapenda kuchangia vitu wasivyovijua..mtu anataka kiwanja cha 20x20 cha kuanzia maisha, watu wanamponda
Tuna watu wa hovyo sana aiseeWapondaji hao nao wana raha yao. Mimi huwa nawaona kama wachangamshaji tu, wachawi uchwara hivi na waliokata tamaa wanaostahili kupuuzwa.
Ambao huwa wananikera ni wale ambao mtu anaweka uzi hapa akisema kuwa maisha yamemchosha na anatamani sana kujiua halafu wanaanza kukomenti "Loser, jiue tu maana huna faida yo yote". Mara "Niachie chaja yako nimekuwahi". "Unajiua kwa sumu au kamba nikuletee?". Hawa ndiyo huwa nawaona kama vile hawana ubinadamu kabisa. Wengine hawa hawana madhara!
Wengine wana mioyo midogo, wanaumizwa na kila baya. Umejipinda Mideko wa watu ukapata mkoko wako IST unakula kiyoyozi kabisa na mvua ikinyesha upo safi, hunukishwi jasho la daladala, anakuja mtu anakudhihaki..anasema IST sio gari, sasa kama sio gari ni kitu gani?Unabeba yanayokuhusu ya kwao unawaachia wenyewe...
No,,nyumba ya nzuri kabisa ujanjenga na parking inabaki.viwanja vingi vya Dodoma high density ni 30*1520x20 unajenga nini ?! Labda banda za kuku
Nissan Mercedes VitaraMercedes vitara
Hii collaboration ya japan na German nimeipenda π π€£MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu.
Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina ushauri wa maana kwanini nisikae kimya?
View attachment 3268694