Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 252
- 301
Mara nyingi za kuambiwa changanya na zako.. Mengne ustilie maanan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli mkuu na ajabu huyo anayeponda kiwanja cha 20×20 anaishi mwenye kigheto cha chumba kimoja alichopanga au kwa shemeji yake kula kulala hana ramani yoyote alafu anawadis wale wanaopiga hatua kuwa wanapata wivu balaa..hizo kelele za kuwaponda wengine wanaojipata ni kelele tu wanajifariji kwa kushindwa kwao maisha.Sio gari tu...hata kiwanja pia...watu wengi humu wanapenda kuchangia vitu wasivyovijua..mtu anataka kiwanja cha 20x20 cha kuanzia maisha, watu wanamponda
Yaani bora ukaulize bodaboda kijiweni sio humu...wasomi wengi na wajuaji wengi...pia naona hii ni tabia ya wasomi wengikweli mkuu na ajabu huyo anayeponda kiwanja cha 20×20 anaishi mwenye kigheto cha chumba kimoja alichopanga au kwa shemeji yake kula kulala hana ramani yoyote alafu anawadis wale wanaopiga hatua kuwa wanapata wivu balaa..hizo kelele za kuwaponda wengine wanaojipata ni kelele tu wanajifariji kwa kushindwa kwao maisha.
Eeeh ndio utaambiwa hvyo tu...sasa we mtu ndio maisha unaanza na ajira mpya..mkopo mwisho 20m bank...utapata 40×40 kwel na ujenge20x20 unajenga nini ?! Labda banda za kuku
Ndio asijitie kiherehere cha kujenga kama uwezo wake ni 20x20 ..azungushe pesa ikitosha ananunue kiwanja cha maana cha makaziEeeh ndio utaambiwa hvyo tu...sasa we mtu ndio maisha unaanza na ajira mpya..mkopo mwisho 20m bank...utapata 40×40 kwel na ujenge
Ustaadh,mihuni imekukebehi unavyotaka kununua guta la jadi aka kibagadu?Wasamehe saba mara mia saba.MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu.
Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina ushauri wa maana kwanini nisikae kimya?
View attachment 3268694
Aisee upo?Ustaadh,mihuni imekukebehi unavyotaka kununua guta la jadi aka kibagadu?Wasamehe saba mara mia saba.
Tamu sanaHii collaboration ya japan na German nimeipenda 😄 🤣