Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

Mara nyingi za kuambiwa changanya na zako.. Mengne ustilie maanan
 
Sio gari tu...hata kiwanja pia...watu wengi humu wanapenda kuchangia vitu wasivyovijua..mtu anataka kiwanja cha 20x20 cha kuanzia maisha, watu wanamponda
kweli mkuu na ajabu huyo anayeponda kiwanja cha 20×20 anaishi mwenye kigheto cha chumba kimoja alichopanga au kwa shemeji yake kula kulala hana ramani yoyote alafu anawadis wale wanaopiga hatua kuwa wanapata wivu balaa..hizo kelele za kuwaponda wengine wanaojipata ni kelele tu wanajifariji kwa kushindwa kwao maisha.
 
Yaani bora ukaulize bodaboda kijiweni sio humu...wasomi wengi na wajuaji wengi...pia naona hii ni tabia ya wasomi wengi
 
20x20 unajenga nini ?! Labda banda za kuku
Eeeh ndio utaambiwa hvyo tu...sasa we mtu ndio maisha unaanza na ajira mpya..mkopo mwisho 20m bank...utapata 40×40 kwel na ujenge
 
Eeeh ndio utaambiwa hvyo tu...sasa we mtu ndio maisha unaanza na ajira mpya..mkopo mwisho 20m bank...utapata 40×40 kwel na ujenge
Ndio asijitie kiherehere cha kujenga kama uwezo wake ni 20x20 ..azungushe pesa ikitosha ananunue kiwanja cha maana cha makazi
 
MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu.

Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina ushauri wa maana kwanini nisikae kimya?

View attachment 3268694
Ustaadh,mihuni imekukebehi unavyotaka kununua guta la jadi aka kibagadu?Wasamehe saba mara mia saba.
 
Yani we ununue IST sisi tukuvumilie tu
 
Back
Top Bottom