Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana Jamiiforums

Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu alitaka mchumba, alihangaika sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto hukaa maeneo hatarishi ambayo ni Sinza, Magomeni, na Kinondoni, kuna siku tulipata mchumba maeneo ya kinondoni shamba.

Tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo.

Kwa ufupi wakazi wa Kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma Oysterbay, Mbuyuni, Sekondari kisutu, Kambangwa , Kinondoni musilim.

Hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia.

Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? wengi wanaishi kwao.
 
wanawake wema wapo sehemu yoyote Mkuu hata, huko ulipotaja vimeo hawakosekani
 
Kutana na wanawake wa mbagala,warembo ila wakati wa kupanda daladala unakuta mrembo anasukumana huku kavaa bukta la jeans kama tayti hana habari,wanawake wapo mbagala bhana.

ha ha ha siku moja mama mmoja alitupiga viwiko pale ubungo afu alivofika ndani akabaini gari ni la mbezi.tulimumaindi maana alituumiza kwenye kugombea
 
ha ha ha siku moja mama mmoja alitupiga viwiko pale ubungo afu alivofika ndani akabaini gari ni la mbezi.tulimumaindi maana alituumiza kwenye kugombea

Yaani hawa safi kwa kuoa akikosa kazi au kibarua kikiota majani, anatembeza hata chapati, mihogo , sabuni, machungwa na mihogo, njoo wa kino, migo na sinza atakwambia sura inaanza kuacha mwili inakuwaje au nizunguke kidogo (kidumu)
 
Kwa kweli sijaelewa..!
Mkuu, wakazi wa kinondoni, magomeni na sinza hawana tabia njema au?
 
Mbagala hata kama mpo wawili lazima mgombanie gari

kuna siku natoka zangu rufiji asubuhi saa mbili hivi nipo mbagala nilichokiona ilibidi nikageuze na gari zakhem

sasa mtoa mada umegusa kwetu huu ni uongo huku kwetu wengi ni wale wa kuja hakuna wazawa wasioolewa hawa ni wapita njia niamini mimi
 
Kwa kweli sijaelewa..!
Mkuu, wakazi wa kinondoni, magomeni na sinza hawana tabia njema au?

Nimesema wasichana wa kuoa, wengi hawatulia kufuatana na mazingira.
1. Wengi ni wapangaji wako huru zaidi
2. Wanazungukwa sana na kumbi za starehe,
3. Hawajazoea maisha magumu kama prukushani za usafir wa dala dala,
4. Wanachagua sana biashara, ukifilisika unaachwa hawawezi kuvumilia kwa kupika andazi na vitumbua wakati ni walembo
5. Wako mbali na maeneo ya kujishughulisha kama kulima mchicha au hawana sehemu ya kufanyia bishara kwa kuwa wengi wao wamepanga, hivyo option yao ni kujipeleka kuleeee kwa wakwaleee
 
kuna siku natoka zangu rufiji asubuhi saa mbili hivi nipo mbagala nilichokiona ilibidi nikageuze na gari zakhem

sasa mtoa mada umegusa kwetu huu ni uongo huku kwetu wengi ni wale wa kuja hakuna wazawa wasioolewa hawa ni wapita njia niamini mimi

Dalala yeyote inayokuja mbagala asubuhi au jioni inakuwa ishajaa watu wa kurudi nao ilikotoka,kwahiyo ikifika mbagala wanapanda washika mabomba
 
Back
Top Bottom