Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

Uchamwinoni hakuna vimeo labda kwenu gwasa na chadulu,

Mkuu uchamwinoni kama kawaida anzia pale darajani hadi msingi kule unaunga hadi chinangali duuuu. Kwetu zuzu mkuu
 
Mkuu uchamwinoni kama kawaida anzia pale darajani hadi msingi kule unaunga hadi chinangali duuuu. Kwetu zuzu mkuu

Kwa miaka ya nyuma ilikuwa maeneo ya Mailimbili, Gwasa, Kizota mpaka Chadulu bila kusahau Bahi road na Majengo
 
am here from cnza na still sealed, kama huamini come n' check
 
Hivi kweli Mungu kaumba na huyu pumbafu. Nyumbani kwa wenzio unaita maeneo hatarishi. Kwa lipi? Watu wote wanaokuja kufanya ushwenzi wao huko hawaishi na wala hawana uwezo wa kukaa maeneo kama Sinza. Angalia daladala zinavyojaa kuja huku kutokea maeneo mengine. Hizo ni chuki binafsi. Angalia hata saloon na botique za maeneo hayo. Ni za nguvu. Acha dharau weweee
 
Sasa mkuu kuna ingizo jipya tumelisahau, makole(cbe) nadhani inashika 1

Hilo si ingizo jipya tu labda tunafanya ku-renew tu maana makole ya zamani na Airport zote zilikuwa moto chini mie niliondoka kitambo huko ila nilikaa sana
 
Yaani hawa safi kwa kuoa akikosa kazi au kibarua kikiota majani, anatembeza hata chapati, mihogo , sabuni, machungwa na mihogo, njoo wa kino, migo na sinza atakwambia sura inaanza kuacha mwili inakuwaje au nizunguke kidogo (kidumu)

kweli kabisa mkuu.hakika
 
Hivi kweli Mungu kaumba na huyu pumbafu. Nyumbani kwa wenzio unaita maeneo hatarishi. Kwa lipi? Watu wote wanaokuja kufanya ushwenzi wao huko hawaishi na wala hawana uwezo wa kukaa maeneo kama Sinza. Angalia daladala zinavyojaa kuja huku kutokea maeneo mengine. Hizo ni chuki binafsi. Angalia hata saloon na botique za maeneo hayo. Ni za nguvu. Acha dharau weweee
taratibu. watoto wa kike wa kino, temeke, sinza, magomeni nawaheshim sana.Sinza nimeishi kwa miaka saba kabla ya kuhamia shambani, mabinti wamepanga chumba kizuri, anaishi vizuri ulizia kazi yake.nikiwa secondary nilikuwa namsindikiza bro.kutengeneza tv za wadada wa sinza waliopanga nikagundua tabia za baadhi yao zimekubuhu
 
Huku kwa wajanja siami ng'o kume changamka twenty four seven raha hatari eti niende mbagala kumepooza ka nini nakomaa napo hao waoaji wataji jei jei wenyewe
 
Hivi kweli Mungu kaumba na huyu pumbafu. Nyumbani kwa wenzio unaita maeneo hatarishi. Kwa lipi? Watu wote wanaokuja kufanya ushwenzi wao huko hawaishi na wala hawana uwezo wa kukaa maeneo kama Sinza. Angalia daladala zinavyojaa kuja huku kutokea maeneo mengine. Hizo ni chuki binafsi. Angalia hata saloon na botique za maeneo hayo. Ni za nguvu. Acha dharau weweee

Hajielewi ubavu waku kaa maeneo aliy yataja hana abaki huko huko daladala so asubuhi mchana zimeshona watu hafu weekend wanakuja kutembea hana jipya
 
Sinza watu hawalali muda wote.ni sehemu ambayo ina bar, pub na guest house kuliko sehemu yoyote hapa Dar. Unategemea nini hapo wakuu
 
Kuna ukweli, lakini mnatafuta mchumba kama fremu ya biashara?
 
Back
Top Bottom