Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

Wana JF,

Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu alitaka mchumba , aliangaika sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto hukaa maeneo hatarishi ambayo ni sinza, magomeni, na kinondoni, kuna siku tulipata mchumba maeneo ya kinondoni shamba , tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo. Kwa ufupi wakazi wa kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma ostabay, mbuyuni, sekondari kisutu, kambangwa , kindoni musilim, hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia. Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? , wengi wanaishi kwao.

prejudice....you must be JJC.....
 
Ahahahahahahahaa mbona wanaolewa asee...mie pia nitaoa chuma kimoja hapa Sinza,siend mbali
 
Wana JF,

Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu alitaka mchumba , aliangaika sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto hukaa maeneo hatarishi ambayo ni sinza, magomeni, na kinondoni, kuna siku tulipata mchumba maeneo ya kinondoni shamba , tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo. Kwa ufupi wakazi wa kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma ostabay, mbuyuni, sekondari kisutu, kambangwa , kindoni musilim, hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia. Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? , wengi wanaishi kwao.

Kwani huko ulipotaja kwenye wake waliotulia bikra bado wanazo?
 
nimependa sana signecha yako. hiyo mada waendelee kuchangia wengine.
 
Wana JF,

Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu alitaka mchumba , aliangaika sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto hukaa maeneo hatarishi ambayo ni sinza, magomeni, na kinondoni, kuna siku tulipata mchumba maeneo ya kinondoni shamba , tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo. Kwa ufupi wakazi wa kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma ostabay, mbuyuni, sekondari kisutu, kambangwa , kindoni musilim, hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia. Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? , wengi wanaishi kwao.

Mkuu wala hujakosea hapo sinza na magomenio kuna kahaba za kutosha ogopa. mimi nimewahi piga wakutosha hapo. kuna kipindi nilikuwa natongoza kupitia mitandao ya Badoo, Twoo na Tagged. aisee huko madem wanajiuza live tena kwa bei simple kabisa. kuna mmoja nilijifanya kumsifia akaniambia acha kujizungusha hapa hela yako tu. ikabidi nijiongeze
 
daah, mamanina!!! daaah
 
wanawake watemeke kila wekend wako ngomani diary imejaa vigodoro,jando,unhago,ngoma ,hitima ,harobaini,kisomo,

na huko ndiyo kuna madini, kila mtu ni msichana, mtu na wifi yake wanapeana michapo ya kuchepuka,,,dadadadadeki!
 
Wana JF,

Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu alitaka mchumba , aliangaika sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto hukaa maeneo hatarishi ambayo ni sinza, magomeni, na kinondoni, kuna siku tulipata mchumba maeneo ya kinondoni shamba , tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo. Kwa ufupi wakazi wa kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma ostabay, mbuyuni, sekondari kisutu, kambangwa , kindoni musilim, hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia. Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? , wengi wanaishi kwao.

Mkuu, mnatafuta wachumba kiboya sana.
 
na huko ndiyo kuna madini, kila mtu ni msichana, mtu na wifi yake wanapeana michapo ya kuchepuka,,,dadadadadeki!
au mama mwenye nyumba awe na watoto wa kike alafu uingize wengine notice itakusubiri atakwambia ina maana humu ndani huwaoni
 
hapo utakuwa umekosea, unatakiwa kuanza na maza haus kwanza, kisha wanae, then ndiyo unaanza kuingiza wa kutoka nje sasa...wanakuwa wamekaa dirishani wanacheka kicheko cha umbea we unasimamia show bila kujali!
 
Back
Top Bottom