Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

na wanaume wa maana wako wap? ila sinza wakaka wako poa ukibahatika.tho malaya sana. nimekumbu mtoto mzuri njemba ya maana ya sinza gafra mungu akaichukuwa kabla sijaamua dah mungu kwa nn hukunionea hata huruma?
Topic ya wanaume nayo ipo, wa maana wako kule mbezi , kimara, pugu, n.k, wa Sinza ni kwa ajiri ya kutuliza mizuka ya wakina dada , yaani kuwadatisha , ndio maana wazee walijijua mapema nyumba hizo wamezifanya gesti, nyingine mafrem ya biashara wakaenda kujenga sehemu nilizozisema wakiwaachia vijana walane ujana!!!!!!
 
Afadhali Dodoma imekuwa jiji, tumechoka na wanaume wa Dar na utafiti wao!
 
Back
Top Bottom