Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

Wana Jamiiforums

Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu alitaka mchumba, alihangaika sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto hukaa maeneo hatarishi ambayo ni Sinza, Magomeni, na Kinondoni, kuna siku tulipata mchumba maeneo ya kinondoni shamba.

Tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo.

Kwa ufupi wakazi wa Kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma Oysterbay, Mbuyuni, Sekondari kisutu, Kambangwa , Kinondoni musilim.

Hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia.

Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? wengi wanaishi kwao.

K'Nyama nako ka Sinza. Wengi vicheche. Hoa wanafiti kuwa michepuo tu.
 
Yaani wamenikera....
unajua kuna baadhi ya misemo ya zamani imepitwa na wakati, i.e,samaki mmoja akioza au mwalimu wa wanawake alikuwa kipofu n.k...lakini bado kuna mijanaume inaitumia.
Watuacheeeeeeeeee.....kuolewa sio lazima nawaambia, kutafuta pesa ndo mpango mzima.

wana wivu na watoto wa kinoclan
 
Uko ndo kukosa kaz yan mnatafuta mwanamke kama bidhaa vile?


Sasa mtamaliza dar nzima na mkija mtasema wanawake wazuri wapo kibaha na bagamoyo
 
Sio limempata mtu, unadhani wachumba zangu humu wakiona hii topic, si uchumba wangu utakuwa hatarini...msitukwaze jamani

usijali baby mwenyewe nakaa magomeni hawa hawajui kuwa wakati sisi tupo watoto kimara tegeta mbezi kawe kote kulikuwa na mapori hivyo walivyokuja kutoka shamba wakakimbilia huko wengi wao wamekuja mjini kuwatembelea ndugu zao na shule achana nao
 
usijali baby mwenyewe nakaa magomeni hawa hawajui kuwa wakati sisi tupo watoto kimara tegeta mbezi kawe kote kulikuwa na mapori hivyo walivyokuja kutoka shamba wakakimbilia huko wengi wao wamekuja mjini kuwatembelea ndugu zao na shule achana nao

Asante mchumba wangu,....
Ndio maana nakupenda.
 
Those girls have big fat boots! they all have their bright future in their behinds..
 
Watuache na Kinondoni yetu, Tena ngoja leo ngoja niende Mashauzi Classic pale Mango garden

Yaani Mashauzi Classic wamama wa kutetemesha kifua, wakijirusha tu yaani maembe waliyofungasha kifuani yanacheza balaa
 
na wanaume wa maana wako wap? ila sinza wakaka wako poa ukibahatika.tho malaya sana. nimekumbu mtoto mzuri njemba ya maana ya sinza gafra mungu akaichukuwa kabla sijaamua dah mungu kwa nn hukunionea hata huruma?
 
Back
Top Bottom