Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba

hapo utakuwa umekosea, unatakiwa kuanza na maza haus kwanza, kisha wanae, then ndiyo unaanza kuingiza wa kutoka nje sasa...wanakuwa wamekaa dirishani wanacheka kicheko cha umbea we unasimamia show bila kujali!
kuku na mayai yake noma unaeza kusababisha ugomvi mkubwa sana
 
Mkuu wala hujakosea hapo sinza na magomenio kuna kahaba za kutosha ogopa. mimi nimewahi piga wakutosha hapo. kuna kipindi nilikuwa natongoza kupitia mitandao ya Badoo, Twoo na Tagged. aisee huko madem wanajiuza live tena kwa bei simple kabisa. kuna mmoja nilijifanya kumsifia akaniambia acha kujizungusha hapa hela yako tu. ikabidi nijiongeze

Kisa cha ukweli nilidate mmoja tunatoka nje tu , nikampa shariti ya kunyonya hotel ya mtoto , demu aligoma eti kama hivyo basi, kumbe wanayabana na shindilia za plastic ukifika anawai kuzima taa
 
kweli kabisa wapo ila usirogwe ukampata kicheche kutoka maeneo hayo ni hatari.(kino, magomeni na sinza.)

umesahau kwa wachunaji wa tabata... wengi wao ni single moms afu wako aged kinoma.. wamebakia wanahaha tu.. (esp tabata segerea)
 
umesahau kwa wachunaji wa tabata... wengi wao ni single moms afu wako aged kinoma.. wamebakia wanahaha tu.. (esp tabata segerea)

Ngoja nitembelee huko jioni, nasikia huko wengi sio wapangaji ila wapiga dili za wizi bandarini ,TRA, Uwanja wa Ndege, Fojari za kila aina, wanawake wengi wameoa vijana (marioo) ni watanashati kinoma, wengi wao hawana waume nao wanajikamatia vijana wanao kwa muda akizingua wanawatema
 
wanaishi sana maisha ya tv za uaya(maigizo) kuliko uhalisia wanaishia kumegwa tu kuachwa
 
Kuna kaukweli mkuu

Nina ushahidi mpya kutoka kwa wadau,
Naanzia kinondo shamba; Nenda kachukue bajaji au texi mwambie Tax driva kuwa unataka demu kutoka maeneo hayo sema utamuongezea dau elfu kumi mwambie sitaki malaya, atakuuliza unataka binti wa umri gani? anayesoma au ambaye amemaliza form 4 darasa la saba yupo home, size gani mrefu mweupe au mweusi, ukishachagua mnaondoka anasema nipe dakika tatu anafanya mawasiliano baadaye anatokea umpendaye kufuatana na specs. mnachati tena dreva anakupa guide vitu vya kumfanyia, Ukitoka hapo nenda kinondoni mwinjuma, Mango garden kuanzia saa tatu wanaanza kushuka, akiingia vibinti vizungushie round alafu omba vikupe kampani havitaondoka kabisa mpaka uchague, baadaye nenda pale magomeni luxully, au magomeni mapipa wengi hujifanya wanasubiri daladala lakini magali mengi hupita na kupakia wao hujifanya wanaeenda posta kama una gari hata la kuazima punguza speed alafu toa lift , utasikia naenda kigamboni kwa shangazi najishauri nitafika lini, ukisema tuarishe anasema amna neno. Tunaingia sasa Sinza maeneo yoote yamearibika , kuanzia saa moja hujui msafiri ni yupi yaani kona ya kwenda namnani visichana vyote viuza nguo madukani usiku vinakuwa maduka mengine, kuna frem kama nyumba mbili zenye frem wasichana wote jioni wanatoka kwenye mafrem wanavizia mabuzi nje hata wake za watu wakiwemo, njoo sinza kwa kanisani kwa mbuzi , hapo balaa totoz zinazunguka kama grudum, hila kuna stail yao ya kuwaita wanajifanya m-laya fresh ukiwaingia vibaya unashushuliwa maana wanakuwa wanajifanya wako bize na simu kusubiri watu wao kumbe zuga, nenda meeda hapo sisemi maana ni mabalaa matupu
 
taratibu. watoto wa kike wa kino, temeke, sinza, magomeni nawaheshim sana.Sinza nimeishi kwa miaka saba kabla ya kuhamia shambani, mabinti wamepanga chumba kizuri, anaishi vizuri ulizia kazi yake.nikiwa secondary nilikuwa namsindikiza bro.kutengeneza tv za wadada wa sinza waliopanga nikagundua tabia za baadhi yao zimekubuhu

Kweli kabisa!

Hata niliomaliza.nao chuo
Wadada wengi tu wamepanga sinza hapo wanauza tu! Na kazi hakuna ajira hazisomeki!
Jiulize wanaishije
 
kweli kabisa, bila kusahau mwananyamala na sehem nyng za uswahilini
 
Wana Jamiiforums

Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu alitaka mchumba, alihangaika sana kupata mwenza kwani wanawake wengi wenye mvuto hukaa maeneo hatarishi ambayo ni Sinza, Magomeni, na Kinondoni, kuna siku tulipata mchumba maeneo ya kinondoni shamba.

Tunaanza kuchumbia tu tulipewa orodha ya wanawake hatari sana naye akiwemo.

Kwa ufupi wakazi wa Kinondoni shamba wengi wanajuana kwa majina na tabia, kwa kuwa wasichana wengi wamesoma Oysterbay, Mbuyuni, Sekondari kisutu, Kambangwa , Kinondoni musilim.

Hivyo kitabia karibu wanafanana, ukienda magomeni vile vile, tumeamia Bunju tu tukapata mchumba aliyetulia.

Sehemu za wake waliotulia ni Mwenge, Kijitonyama, Kimara, Mbezi juu, mbezi chini , unajua ni kwa nini? wengi wanaishi kwao.

Umenikumbusha stori ya Zamani, enzi za miaka: Ni hivi, nilikuwa na shangazi yangu dada ya Baba yangu alikuwa akiishi Kinondoni shamba, shangazi yangu alikuwa na mabinti wawili kati ya hao mabinti wawili mkubwa alikuwa mzuri kupita kiasi, yaani yule dada binamu alinifanya nisiache kwenda kwa shangazi kila mara, kwa kweli nilimpenda dada binamu, ila kuna kitu kimoja nilikuwa nakereka nacho, alikuwa anaringa sana, ilikuwa nikifika shangazi ananikaribisha vizuri sana na kuwaita wadada waongee na mimi! Yaani alikuwa kama hanijui vile.....!

Sasa hivi, ukimuona anatia huruma kama nini wajanja walimzalisha mapema ,hakupata mtu wa kuishi naye, shule hakuipenda, alijua ataolewa kwa uzuri aliokuwa nao.
 
Back
Top Bottom