MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Dalala yeyote inayokuja mbagala asubuhi au jioni inakuwa ishajaa watu wa kurudi nao ilikotoka,kwahiyo ikifika mbagala wanapanda washika mabomba
umejuaje una uzowefu nako ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dalala yeyote inayokuja mbagala asubuhi au jioni inakuwa ishajaa watu wa kurudi nao ilikotoka,kwahiyo ikifika mbagala wanapanda washika mabomba
umejuaje una uzowefu nako ?
Mbagala hata kama mpo wawili lazima mgombanie gari
Hahaaaaa lol umenichekeshaje
Samahanini, naomba msituharibie soko jamani
Kwa kweli sijaelewa..!
Mkuu, wakazi wa kinondoni, magomeni na sinza hawana tabia njema au?
Area C, D, E mpaka Kizota piaHapa kwetu vimeo wapo Gwasa, Majengo, Uchamwinoni, Nangali na maili mbili maeneo ya stand. Usiguse kabisaaaaaaa
Hahahaha,mbagala raha sana,mkibanana girl akiwa ndo umebanana naye mnapiga stori za kutongozana huku foleni inaenda,kufika rangi tatu mmepeana contacts,halafu mbagala si wastaarabu wa kunyamaza story na majungu yatapigwa kwa sauti kubwa huku abiria mnaenjoy
Area C, D, E mpaka Kizota pia
Ili upate siti basi la mbagala lazima uwe na nguvu au ulipe hela zaidi ya kugeuka na gari watu wabishi hatari uda na dcm wanakimbilia dcm wanakwambia madereva wa uda wazee
Dalala yeyote inayokuja mbagala asubuhi au jioni inakuwa ishajaa watu wa kurudi nao ilikotoka,kwahiyo ikifika mbagala wanapanda washika mabomba
mtuwachd tupumue mbona mwenge- kunduchi hamuwasemi au gomz, wanawake wa huko ndo wanapasha chuma ili iwe simpo kugombania magar kama hamuamini twende mnaz mmoja leo jion
Makonda wengine wana vibiri,wakifika utasikia "gari haigeuzi"kumbe wanataka watu wajazane kwanza,wakijaa utasikia "posta feri hiyo""basi raia zitatoana jasho
Yaani hapo ndoa haichelewi, lakini atakutega kama ujajua kudandia gari za bunju, Tegeta na Mbezi!! maana huku mtu haombwi hela ya texi ni bajaj na tukutuku tu.
Nimesema wasichana wa kuoa, wengi hawatulia kufuatana na mazingira.
1. Wengi ni wapangaji wako huru zaidi
2. Wanazungukwa sana na kumbi za starehe,
3. Hawajazoea maisha magumu kama prukushani za usafir wa dala dala,
4. Wanachagua sana biashara, ukifilisika unaachwa hawawezi kuvumilia kwa kupika andazi na vitumbua wakati ni walembo
5. Wako mbali na maeneo ya kujishughulisha kama kulima mchicha au hawana sehemu ya kufanyia bishara kwa kuwa wengi wao wamepanga, hivyo option yao ni kujipeleka kuleeee kwa wakwaleee
Nakudanganya weweutamdanganya nani wakati napajua unapokaa