Ukitaka kuoa usioe mwanamke mwembamba, oa mwanamke mwenye shepu na makalio makubwa

Ukitaka kuoa usioe mwanamke mwembamba, oa mwanamke mwenye shepu na makalio makubwa

Kuna uzi nimeona umeeleza ulikua bright darasani na ni engineer kuliyefungia vyeti kabatini. Hebu tueleze uhusiano ulioko kati ya big nyash na akili, naamini itasaidia wengi.
Niliwahi kusikia wenye nyashi kubwa wanazaa watoto wenye akili kwa kua kabla ya kuzaliwa mtoto anapata uwanda mkubwa wa kuzurura tofauti na hawa kina putin wenye piston moja.
 
Nikuambie kitu?
Flat screen ndio wife material.
Ukizima taa utanielewa. Wepesi, wanajituma, sio wavivu, wanaongea Sana na Ni wasafi wa mwili.
Umemaliza upo sahihi mademu wembamba wote niliowahi kutoka nao asilimia kubwa vimbumbu vyao ni swafi maana mapaja hayabanani achilia mbali hao bitches wembamba wao kutoa harufu Sawa Ile nyie mademu wanene wanasmell "kisamaki changu sio ngisi sjui visangala
 
Hizi ndizo akili za vijana wanaotarajiwa kupigania katiba mpya ya Tanzania
unawezaje kupigania katiba mpya kama huna utulivu wa akili na mwili? Unadhani unaweza kuupata wapi huo utulivu wa akili na mwili? Ukiwa na mke mzuri,mrembo mwenye shepu na big nyashi anakupenda na kukujali unapata utulivu wa akili na mwili pia ukija kupigania katiba mpya unatoa hoja zenye kueleweka. Just imagine mkeo mbaya hana mvuto i mean a curved body with big nyashi hakupendi wala hakujali kwasababu hukusoma hii thread ili ikusaidie kufanya maamuzi sahihi utaweza kweli kujenga hoja wewe?
 
Ndoa ni zaidi ya makalio na uzuri wa mwili.
ni kweli, lakini kuna baadhi ya vitu kama hivi ni vya muhimu kuvizingatia just imagine umetoka kazini unafungua mlango unamuona a very beautiful woman with a killer smile, a curved body with big nyashi laying on a sofa halafu mtoto anakuuliza baby utakula baada ya kula au utakula kabla ya kula.
 
Unafikiri kila siku itakuwa hivyo?
Hukuwahi kuona mwanamke anazaa zile chuchu saa 5 zinalala, lile kalio linaisha anakuwa tipwa shapeless.

Kuna sifa nyingi na sababu za kuoa moja wapo ni uzuri, lakini sio kwamba nyashi na curved body ndio iwe priority, utachepuka tu baadae na utaanza kuona wa kawaida.
 
sipingani na wewe but big nyashi with a curved body u have to put them into your considerations beside all those so called tabia nzuri,uchamungu and so many other factors.
 
Ulijuaje mkuu? Toa pande tumsaidie majumu baba
a curved woman with big nyashi unadhani utampata mtu lofa kama wewe? My dad was an engineer with maokoto and that so called status. Muache mshuwa afaidi uumbaji wa m/mungu.
 
Back
Top Bottom