Ukitaka kupewa chakula cha usiku bila kukiomba directly, unafanyaje?

🤣🤣🤣Huyu siyo mlokole bhana...
Mnataka tuwe tunasema "we baba mwantumu njoo tufanye tendo la ndoa" huku nimepiga Magoti?
Hahahaha niliyasoma maandishi nikayajengea sauti ile ya kukaza “oya mwamba….” Sasa hapo mwamba atahisi anaenda mkaza mwamba mwenzake.
 
Mpe elfu 3 ya kuoshea nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…