Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Leo mambo mengi sana humu mara kafara, mara watoto kupigwa, karibuni tujipumzishe jamvini.
Ikiwa umenuniwa na bebi wako au umefanya msala au hujisikii tu kuliomba tendo directly ila hamu imekukaba, huwa unafanyaje?
Mimi huwa namwambia, mgongo umekaza naomba animassage, sisubirigi jibu, nachojoa tu viwalo vyote, najilaza kitandani au chini. Haijawahi kufeli, kila massage huwa inaishia na kuliwa mbususu tu, baada ya hapo hata kama ana mnuno wake unakua umeishia hapo.
Nyie wakaka na wadada huko kwenu huwa mnafanyaje?