Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
- #401
Ni kweli bro. Shida labda nimefikisha ujumbe wa hasira sana. Ila ndio uhalisia, tukisema tuanze kufanya comparison mada za ajabu ndio zina michango mingi.Mkuu tupo pamoja, hata Mimi nilielewa hoja yako ,kua Humu JF Mada ya kijinga inapata wafuatiliaji wengi.
Ila lazima tukubali ukweli wa interests za Mtu Mmoja mmoja.
Kuna watu humu Kila siku lazima wasome mahadithi mengi ya JF na wanasoma na kumaliza.
Mimi Huwa nikisoma kidogo naacha ,narudi zangu kwenye kula tunda kimasihara.
Huyo alotumia muda wake kwenye mahadithi sio mjinga, na huyu anayotumia muda wake kimasihara sio mjinga.
Ndio maana mule ndan kimasihara, unakuta Kuna watu wa Kila aina , hao hao watu wa Kila aina ,nao wakiwa nje ya Uzi ule, wanakua na machaguzi Sasa, wapi waandike, wapi wasiandike ,wapi waseme, wapi wasiseme !!.
Ndio maana nikasema ujinga mi mwingi kwakuwa unajidhihirisha.