Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Mpeni maana zinamtesa sana
Kwenye haya maisha tangu zama za zamani vitu vinavyoonekana vya kawaida kama mapenzi siasa na michezo ndiyo vinavyooendwa na watu wengi kwani vinagusa hisia za watu wengi

Kiasili binadamu hasa mwafrika hapedi vitu critical,hata humu majukwa logical na intellectual ukieweka mada inakudodea,nadhani ndiyo maana Kuna yule muhaya Rutashubanyuma Huwa anajipostia na kujikomentia mwenyewe
 
Sawa mkuu. Mimi sipingani na wewe ila nimeangalia mda mrefu kwanini mada zisizo make sense ndio zina wachangiaji wengi?

Ndio nikahitimisha kuwa wajinga ni wengi maana kama vitu visivyo make sense ndio vinapendwa basi wajinga ni wengi.

Hiyo ndio ilikua point yangu. Samahani kama nilikuwa too personal
Mada zake zipi jamani
Mbona mimi sizijui? Zaidi ya kuona ona comments ndefu Sakina mpk Usa river
 
Usifanye mambo kua magumu Mkuu.

Humu Kuna Madaktari, Kuna mwingine ni Mwalimu... Mwingine Mwanasheria kama Pasco...Mwingine Muhandisi ... Mwingine Mfanyabiashara ...Mwingine Hana Kazi..Mwingine mwanachuo. Kuna Madereva humu, Kuna mafundi Ujenzi humu .n.k

Sasa Kila mmoja akisema ajikite kwenye Profession yake Kila siku ,unadhan humu JF kutanoga ??? , au Mimi mtu wa Afya niende kuchangia Mada za Uinjinia. ,au Mimi nichangie Mada za Sijui Kati ya Nairobi na Dar ipi nzuri? Sijui DODOMA na Mwanza wapi pazuri .... Mimi binafsi nitakua nmefanya matumizi mabaya ya Akili yangu .

Humu Ndani Kuna nyuzi ambazo Mimi hata iweje Sitokaa kuzifungua baada ya Kusoma Vichwa vya habari..

Kwa Mfani... Uzi wa Mikeka na kubeti... Toka nijiunge JF sijawahi kuufungua.... Uzi wa jF usiku wa manane, Uzi wa JF nipe likes..hizi Mara ya mwisho kufungua ni mwaka 2017 n.k n.k

Lakini hizo nyuzi Kuna watu wanazielewa sanaaa .

Watu hao sio wajinga Wala nini , ni Mahali ambapo ukiachilia mbali taaluma zao, hapo ndipo wanachangamsha akili

Mimi binafsi hata Ukinita mjinga ,poa tuu ,you are awesome ila ukweli ni kwamba, kwenye UZI WA KULA TUNDA KIMASIHARA, HUNIAMBIII KITU ....NITAUCHANGIA ULE UZI MPAKA SIKU MOJA RAIS SA100 AKIWA JUKWAAN ASEME "KAMA MULE JF KUNA ID YATAITWA CARLOS THE JACKAL, WANANGU NAWAAMBIENI ILE ID INAKULA KIMASIHARA SANA MPAKA INATISHA AU NDIO MKONGO??.

Hapa penyewee nipo naweka sawa Mbususu fulan nataka niile Asubuhi ,alafu usiku Nile mbususu ya yule Bidada nilowaelezea kwenye Uzi wa masihara !!.

Yaan hizi nyuzi za ujinga ujinga, ndo tunakutania hukooo Kwa pamoja
Duu mkuu Naona umetetea biasennes yako kinyama
 
Lakin mi naona siku zinavyozidi kwenda tunaharibika sana siyo Jf tu hata Twitter miaka ya nyuma ilikua ni mtandao ambao huwezi kuanzisha mada za kipuuzi lakin sahiv imekua ni sehemu ya mada za ngono hata kufungua Twitter public unaogopa tena bora hata Facebook inayooneka ya watu wa ajabu lakin angalau wamestaarabika
Ukiona ujue wajinga wengi wameshapata acess na ya hiyo mitandao
 
MAVILAZA yanafarijiana na kutafunana kimaskhara. Hahaa.

Kila ukifungua uzii yamejaa kama mainzi kwenye KIMBA LA MOTO.

Yanachojadilii chenyewe hakipoo nii umburulaa mwanzo mwishoo....

Juzi ndo yalitia fora, eti yanaitana kusherehekea tafrija ya member bora!!!! Chinekeeoduuuu!! 😮😮😮
 
Kwenye haya maisha tangu zama za zamani vitu vinavyoonekana vya kawaida kama mapenzi siasa na michezo ndiyo vinavyooendwa na watu wengi kwani vinagusa hisia za watu wengi

Kiasili binadamu hasa mwafrika hapedi vitu critical,hata humu majukwa logical na intellectual ukieweka mada inakudodea,nadhani ndiyo maana Kuna yule muhaya Rutashubanyuma Huwa anajipostia na kujikomentia mwenyewe
Wabongo nuksi sana wanaumiza hisia za watu kwa likes na comments, 😂
 
Lakin mi naona siku zinavyozidi kwenda tunaharibika sana siyo Jf tu hata Twitter miaka ya nyuma ilikua ni mtandao ambao huwezi kuanzisha mada za kipuuzi lakin sahiv imekua ni sehemu ya mada za ngono hata kufungua Twitter public unaogopa tena bora hata Facebook inayooneka ya watu wa ajabu lakin angalau wamestaarabika

Twitter kule ndio kabisa
Mada za watoto washalala, mara retweet tukuongezee followers, mada za wasimbe ndio zimekua nyingi
Ndio maana unaona kwenye competition za nchi na nchi huwezi kuta Watanzania hilo liko wazi hasa kwenye mada za Kenya na Nigeria
Ni kweli hapa tunajifariji ila ukweli ni kwamba hali ni mbaya sana
Hii generation yetu ni balaa
 
MAVILAZA yanafarijiana na kutafunana kimaskhara. Hahaa.

Kila ukifungua uzii yamejaa kama mainzi kwenye KIMBA LA MOTO.

Yanachojadilii chenyewe hakipoo nii umburulaa mwanzo mwishoo....

Juzi ndo yalitia fora, eti yanaitana kusherehekea tafrija ya member bora!!!! Chinekeeoduuuu!! 😮😮😮
Mavilaza ndiyo yanafanya hili jukwaa liwe active
 
Sawa mkuu. Mimi sipingani na wewe ila nimeangalia mda mrefu kwanini mada zisizo make sense ndio zina wachangiaji wengi?

Ndio nikahitimisha kuwa wajinga ni wengi maana kama vitu visivyo make sense ndio vinapendwa basi wajinga ni wengi.

Hiyo ndio ilikua point yangu. Samahani kama nilikuwa too personal
Mkuu tupo pamoja, hata Mimi nilielewa hoja yako ,kua Humu JF Mada ya kijinga inapata wafuatiliaji wengi.

Ila lazima tukubali ukweli wa interests za Mtu Mmoja mmoja.

Kuna watu humu Kila siku lazima wasome mahadithi mengi ya JF na wanasoma na kumaliza.

Mimi Huwa nikisoma kidogo naacha ,narudi zangu kwenye kula tunda kimasihara.

Huyo alotumia muda wake kwenye mahadithi sio mjinga, na huyu anayotumia muda wake kimasihara sio mjinga.

Ndio maana mule ndan kimasihara, unakuta Kuna watu wa Kila aina , hao hao watu wa Kila aina ,nao wakiwa nje ya Uzi ule, wanakua na machaguzi Sasa, wapi waandike, wapi wasiandike ,wapi waseme, wapi wasiseme !!.
 
Inategemea tu, mbona hii inatrend sana?!!!! Kupitia uzi wako huu na kasi yake ya wachangiaji, you have another coming!

Hata hivyo kuna ukweli ndani yake; tena kuna vidume vijinga humu kazi yao ni kujibebisha tu kwa kina joanah, kapeace &Co. Wakiona demu ameanzisha uzi mbio zenyewe za kuchangia si za nchi hii.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu nje ya hapa wanapitia magumu
Wakija humu wakakuta watu wanaomba ushauri wa maendeleo hasa kuhus biashara ndio utashangaa
Mtu ana laki tano anaomba ushauri afungue biashara ipi watu wengine wanamjibu njoo kidimbwi tudiscuss… plus a lot of negativity
Mifano ni mingi ila ndio uhalisia wa maisha yetu
Ukiwa na umaskini lazma karoho mbaya kawepo kwa waliofanikiwa pia
[emoji1] [emoji1787] umeongea ukweli
Wengi wamezoea uongo uongo tu
Utachangia mada na kusema ukweli watabeza
Ila kweli mtu ana laki anauliza aifanyie nini jamani
Wengi hawapo serious ila pia wengi akili zinafanana
 
Twitter kule ndio kabisa
Mada za watoto washalala, mara retweet tukuongezee followers, mada za wasimbe ndio zimekua nyingi
Ndio maana unaona kwenye competition za nchi na nchi huwezi kuta Watanzania hilo liko wazi hasa kwenye mada za Kenya na Nigeria
Ni kweli hapa tunajifariji ila ukweli ni kwamba hali ni mbaya sana
Hii generation yetu ni balaa
Na wewe kaanzishe za kwako ambazo ni critical
 
Basi enjoy wanacho post wengine
Binafsi sina akili.. mie na manunu akili moja tu

8640164589bb8203e434304c355c3efe_w200.gif
 
Back
Top Bottom