Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ni muhimu kuzingatia kile unachokihitaji zaidi katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii, Kama dhamira yako ni kuelimisha watu basi fanya hivyo bila ya kuangalia response ya watu kwenye mada yako itakuwaje, jamii forums ina wageni wengi wanaosoma mada mbalimbali kuliko Members wake, Nyakati zimebadilika na hata watumiaji wengi wa hivi leo wengi wao ni vijana ambao damu zao zinachemka kwa kiasi kikubwa tarajia mada zao nyingi kuegemea upande wa mahusiano sababu ni moja ya eneo ambalo wanatumia muda wao mwingi kuishi kuliko mengine, yote ya yote tukubali nyakati zinabadailila
 
Mkuu Kama unatumia Tapatalk kuna majukwaa mengi sana ni wewe na hobbies zako tu

Niliona siku moja ya wenye private jets jamaa wanaweka mpaka picha za ndege na wanajadili maisha yao na ndege zao

Nikajichekea na kusema hawa wangekuwa JF wangetukanwa na kuambiwa wewe una ndege gani hata baiskeli huna?

Ilinitokea jf nilibaki nacheka tu

Nenda tapatalk mkuu utaona mengi sana upendayo

Watu nje ya hapa wanapitia magumu
Wakija humu wakakuta watu wanaomba ushauri wa maendeleo hasa kuhus biashara ndio utashangaa
Mtu ana laki tano anaomba ushauri afungue biashara ipi watu wengine wanamjibu njoo kidimbwi tudiscuss… plus a lot of negativity
Mifano ni mingi ila ndio uhalisia wa maisha yetu
Ukiwa na umaskini lazma karoho mbaya kawepo kwa waliofanikiwa pia
 
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wacheche sana (mimi mmoja wao).

Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).

Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.

Hili jambo ni observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.


Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).

Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.

Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.

Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.

Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).

Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.

Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.

Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.

Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.

NONSENSE.
Inategemea tu, mbona hii inatrend sana?!!!! Kupitia uzi wako huu na kasi yake ya wachangiaji, you have another think coming!


Hata hivyo kuna ukweli ndani yake; tena kuna vidume vijinga humu kazi yao ni kujibebisha tu kwa kina joanah, kapeace &Co. Wakiona demu ameanzisha uzi mbio zenyewe za kuchangia si za nchi hii.
 
Mkuuu katika watu wawazi na wananyoosha maelezo Mimi hapa.

Hivi Kuna mtu aliwahi chukiwa na Wanawake wa JF kama Mimi?.

Nitafute Likes za nn?? Yaan Wanawake wa JF kwanza wakishasoma Visa vyangu vya Uzi wa masihara lazima warudi nyuma.

Kutongozaa Huwa natongozwa maana ukikaa sana bila kutongoza, unaweza jikuta ni domo zege


Nyeupe ni nyeupe upo sahihi kabisa, nawala mtu hapaswi kua mnafiki kuongea mambo Ili mradi upande fulan ufurahi


NINACHOKAZIA MIMI HAPA KWENYE MADA YAKO HIII, SIO KILA MARA WARU WAWE SERIOUS.

ALAFU WEE HUWEZ ANZISHA MADA AMBAZO SINA NAZO INTERESTS UKATAKA NICHANGIE.

MADA KAMA ZA DA VINC , ANAMADA NZURI, ILA SIWEZ ZICHANGIA KWA SABABU SIKO INTERESTED .



Kwa hivo tusifokeane, badala yake pale ambapo mtu anajua anaweza sema kitu, atasema.

Huyohuyo ukimkuta kwenye Uzi wa kula tunda kimasihara ,usishangae.
Sawa mkuu. Mimi sipingani na wewe ila nimeangalia mda mrefu kwanini mada zisizo make sense ndio zina wachangiaji wengi?

Ndio nikahitimisha kuwa wajinga ni wengi maana kama vitu visivyo make sense ndio vinapendwa basi wajinga ni wengi.

Hiyo ndio ilikua point yangu. Samahani kama nilikuwa too personal
 
Inategemea tu, mbona hii inatrend sana?!!!! Kupitia uzi wako huu na kasi yake ya wachangiaji, you have another coming!


Hata hivyo kuna ukweli ndani yake; tena kuna vidume vijinga humu kazi yao ni kujibebisha tu kwa kina joanah, kapeace &Co. Wakiona demu ameanzisha uzi mbio zenyewe za kuchangia si za nchi hii.
I don't have another coming, mimi sio muanzishaji thread hovyo. I am too reserved.

Nachangia zaidi na hata hizo nyuzi za kijinga huwa nachangia lakini huwa najiuliza kwanini ujinga una mashabiki wengi sana?
 
Inategemea tu, mbona hii inatrend sana?!!!! Kupitia uzi wako huu na kasi yake ya wachangiaji, you have another coming!


Hata hivyo kuna ukweli ndani yake; tena kuna vidume vijinga humu kazi yao ni kujibebisha tu kwa kina joanah, kapeace &Co. Wakiona demu ameanzisha uzi mbio zenyewe za kuchangia si za nchi hii.
Whowebe kumbe we ni genius, mbona ulikuwa hujanambia
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
JF ni kichaka, kuna makubwa humu ndani wacha kabisa
Tofauti yake na Tandale kwa Tumbo ni kwamba tuko nyuma ya keyboard tuu.
Lakin mi naona siku zinavyozidi kwenda tunaharibika sana siyo Jf tu hata Twitter miaka ya nyuma ilikua ni mtandao ambao huwezi kuanzisha mada za kipuuzi lakin sahiv imekua ni sehemu ya mada za ngono hata kufungua Twitter public unaogopa tena bora hata Facebook inayooneka ya watu wa ajabu lakin angalau wamestaarabika
 
Back
Top Bottom