Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ni kweli bro. Shida labda nimefikisha ujumbe wa hasira sana. Ila ndio uhalisia, tukisema tuanze kufanya comparison mada za ajabu ndio zina michango mingi.

Ndio maana nikasema ujinga mi mwingi kwakuwa unajidhihirisha.
 
Teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kazi kweli kweli...
 
Kama jamii hiyo ndiyo reflection yetu,haya mambo hayaanzii Twitter,yananzia huku nje
 
Naunga mkono hoja
 
Bongo ata uwesiriazi vip utoboi.... mfano angalia machawa walivo na maisha siku hizi!!!
 
Zungukeni muwezavyo, Ngono inapendwa 100%


Muache unafikii mazeeee !!!

Hapo ukingia lenye history yako ya activities za Leo Ndani ya JF...

Utagundua Uzi wa masihara umeufungua Mara 20 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Unafiki unafiki tu na kupretend mambo!!
 
Umepiga kwenye mshono ,ukweli mtupu ,mada za kipuuzi zina trend sana.

Nilichogundua wengi wanaoanzisha mada za kipuuzi lengo lao ni Kutwist mambo yaani Game Changers! Mada wanazozianzisha yaani hazina uhalisia kabisa yaani ni story za kutunga ili kubadili tu upepo tu.
 
Whether you kiss and tell or you don't haina madhara mkuuu maana fake id zinatubeba sana humu.

Hivyo hamna mtu anaharibiwa privacy yake that's logical

Na wenzangu na mie ni ma sex addicts hizo masihara na mbinu ndo tunazotumia pia kuwanasa baadhi ya wake za watu

Kichupa kikijaa. Nashukuru kwa michango yako kwenye visa ya mitombano [emoji119]
 
U
Ni kweli bro. Shida labda nimefikisha ujumbe wa hasira sana. Ila ndio uhalisia, tukisema tuanze kufanya comparison mada za ajabu ndio zina michango mingi.

Ndio maana nikasema ujinga mi mwingi kwakuwa unajidhihirisha.
Ukimuuliza Maxence Melo achague kuzipiga pin mada zetu za kiwaki na abakishe zenu ngumu za kuumiza kichwa nakuapia ndani ya wiki jf itamfia,atakosa circulation ya content
Hivyo relax
 
Twitter imeharibika kwa kiasi cha ajabu.

Waswahili wamevamia ni mwendo wa kujadili uzinzi na ngono. Huwezi kukuta taarifa isiyo na maudhuii ya UCHAFUUU

Halafu yanashangiliaaa yanapeana kongolee... daaahh

Yaani niliifuta fastaa
 
So funny aisee, pale mtu mmoja anapotaka kila mtu awe na mlengo sawa wa kufikiri. Dunia haiendi hivyo hata kidogo mleta mada.

If so, basi tuseme jf founders ni wapumbavu wasio na akili kuleta subforums ndani ya forum kubwa? Mleta mada don't think in one direction, sio kila mtu akiingia humu anataka kuwa serious, aongelee fani yake na yanayofanana. Wengine wanakuja hapa kuburudika, kama vile wengine wanavyokuja kuelimika, na wengine kuja kutengeneza connection.
 
Jaribu kuanzisha forum ya vitu critical tu na Kisha mualikane nyie wagumu tu halafu uje unipe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…