Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

[emoji38][emoji38][emoji38]
Aahh kwa style hiyo sitapiga pesa sasa
Au nikutumie TV na iPhone na dollar kadhaa ikifika DHL uambiwe utoe ka laki nne hivi
Mjini hapa mkuu, wanasema only fittest will survive
Ama kweli mujini hapo
Naona pension yangu inayeyuka hapa
Acha nikae pembeni niwaze kwanza
 
Tangu lini Binadamu akapangiwa cha kufanya humu JF ikiwa muda, bando na akili ni zake mwenyewe?

Kweli punguwani hajawahi kujitambua kuwa hana utimamu wa akili tangu dunia iumbwe [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Weka na wewe uzi wako wavilaza wenzako uta trend mkuu.

Ukiona uzi wakukosoa kama huu ume trend ujue kuna walioguswa wengi.

Sorry dear.
Mi sihitaji sorry hata, nikiwa na muda na moody nachangia navyotaka, mada yoyote
 

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]anaielezea ngono
Japokua mapenzi ni mada ambayo haiepukiki kujadiliwa ila huku kwetu imezidi
Mara huyu kamwaga ndani ya dakika moja, kule amempelekea moto mpaka akakimbia yan full sarakasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…