Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Guys hamna mtu anaekukataza kupost ishu unapost nini

Mtu unakuta yeye almost thread zake hazielewekagi inaacha maswali mno kwa sisi wasomaji

Post as much as you can, mingle as many as you can is up to you

Kikubwa kaa chini afu fikiria unayopost yanaleta image gani

I come in peace
 
Ndo maana kule intelligence forum mambo yamepungua sana
Watu wote makini wameikimbia Jamiiforums kwa sababu ya uvamizi wa MAVILAZAZ na MAZIROO

Halafu ubaya sasa haya MAVILAZAA yana ujuajiii, huyaambii kituu. Bora yangekuwa hata yanatulia.

MAVILAAZA na MAZIROO yamewafukuza watu wote wenye WELEDII, jukwaa la intelligence limebaki kinyonge sanaa

MAVILAZAZZ na MAZIROO yameshika hatamu yanatema TAKA na UCHAFU kila pahali
 
Hahaha hapana mkuu
Ngoja niende nikalime hata pilipili niache utapeli[emoji23]
Tatizo hali ya hewa haishawishi
Mjanja sana wewe na una sense of humor [emoji28]
I wish ningekujua hata nikukodi siku 3 unitembeze mji wako
Potelea mbali nzi akifia kwenye kidonda

Kuna watu unawaamini tu kama mbwa kaona python [emoji1] [emoji1787]

Wewe kwa mguu huo labda ulime kwenye lami
 
Huko intelligence yanayoposti yote hayajielewi
Usipende kunikot ujinga wako
Watu wote makini wamekimbia kwa sababu ya uvamizi wa MAVILAZAZ na MAZIROO

Halafu ubaya sasa haya MAVILAZAA yana ujuajiii, huyaambii kituu. Bora yangekuwa hata yanatulia.

MAVILAAZA na MAZIROO yamewafukuza watu wote wenye WELEDII, jukwaa la intelligence limebaki kinyonge sanaa

MAVILAZAZZ na MAZIROO yameshika hatamu yanatema TAKA na UCHAFU kila pahali
Ishi nao tu mkuu
 
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
emoji38.png
anaielezea ngono
Japokua mapenzi ni mada ambayo haiepukiki kujadiliwa ila huku kwetu imezidi
Mara huyu kamwaga ndani ya dakika moja, kule amempelekea moto mpaka akakimbia yan full sarakasi
Huku watu wanatabia za kitapeli maneno na fix nyingi Wakati najiunga jf nilikua naogopa kuchangia mada maana kila mtu alikuaga na gari kasoro mimi na kila mtu anafanya kazi kwenye ofisi zenye AC mwenye mshahara mdogo ilikua take home ni 1.5M tena analalamika anataka aache kazi,

ila siku niliyokuja kugundua huku watu ni waongo kichizi nilikuta mwana mmoja anaomba konekshen ya kuunganishwa kazi ya laki 3 wakati siku za nyuma nilimkuta kwenye mada moja anapondea kazi yenye mshahara wa 500k
 
Mjanja sana wewe na una sense of humor [emoji28]
I wish ningekujua hata nikukodi siku 3 unitembeze mji wako
Potelea mbali nzi akifia kwenye kidonda

Kuna watu unawaamini tu kama mbwa kaona python [emoji1] [emoji1787]

Wewe kwa mguu huo labda ulime kwenye lami

Nishakwambia hali ya hewa mbaya kilimo kimesimama kwa sie tunaotegemea mvua
Ukija nikutembeze nitakutapeli tu bure urudi daslama na maumivu[emoji23][emoji23]

Huo mguu unalima sema hapo nlkua nishavuna nimetoka kufanyiwa zile manicure na scrubs wanazofanyiwa hao wadada wa daslama[emoji38]
 
Back
Top Bottom