Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Nishakwambia hali ya hewa mbaya kilimo kimesimama kwa sie tunaotegemea mvua
Ukija nikutembeze nitakutapeli tu bure urudi daslama na maumivu[emoji23][emoji23]

Huo mguu unalima sema hapo nlkua nishavuna nimetoka kufanyiwa zile manicure na scrubs wanazofanyiwa hao wadada wa daslama[emoji38]
Hivi kweli unabebishana mbele yangu?
 
Quora na Reddit babe. Njoo huku
Kwamba Quora na Reddit ndio kuwa werevu tu? Au kwa sababu hawaandiki Kiswahili? Mkuu sio Jf tu, mitandao mingi tu kuna upumbavu mwingi mno.

Ninakuunga mkono kuwa kuna upumbavu mwingi humu, ila ninakupinga unapotumia hilo kuwatukana wabongo kama kwamba ni wao tu ndio huongoza kuandika ujinga kuliko Jamii zengine.

Ukweli ni kwamba kuna upumbavu mwingi mno mitandaoni, kuna ushamba tu kuwa mitandao yenye whites wengi au isiyo na wabongo wengi basi kumejaa watu smart tu.

Mimi pia nipo Reddit, hiyo Reddit yenyewe kuna wajinga wengi tu, tena wana communities zao kama Jf ilivyo na majukwaa maalum. Kule Reddit wana communities au subreddits. Nyengine mpaka zinafungiwa. Kuonesha Dunia ilivyo na wajinga.


Bado kuna kina Kiwi Farms (CWCKi Forums), Kina 4Chan, 8Chan, akina Goregrish.

Humo ndio utajua upumbavu uliokuwepo duniani. Sio Jf tu. Hivyo wewe ukiona upumbavu unazidi humu na ukashindwa kurekebisha na kuvumilia , ignore tu.
 
Huku watu wanatabia za kitapeli maneno na fix nyingi Wakati najiunga jf nilikua naogopa kuchangia mada maana kila mtu alikuaga na gari kasoro mimi na kila mtu anafanya kazi kwenye ofisi zenye AC mwenye mshahara mdogo ilikua take home ni 1.5M tena analalamika anataka aache kazi,

ila siku niliyokuja kugundua huku watu ni waongo kichizi nilikuta mwana mmoja anaomba konekshen ya kuunganishwa kazi ya laki 3 wakati siku za nyuma nilimkuta kwenye mada moja anapondea kazi yenye mshahara wa 500k

[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamkuta mtu kwenye MMU anaopoa watoto wazuri na Crown Athlet yake ila kwenye jukwaa la ajira tupo pamoja kuulizana TAESA wanajibu baada ya muda gani
Tunaishi kwenye comfort zone ndio maana wakija wenye michango chanya tunawafanya wajihisi vilaza kama sisi
 
Back
Top Bottom