Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Tumpe doso kidogo eti? Ngoja aje alambe dagaa na ulimiKumaliga nimetoka evening PT kuumia nakuta mtu anaiita kilaza
Tunamwaga dagaa hapo chini kisha aokoteze na ulimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumpe doso kidogo eti? Ngoja aje alambe dagaa na ulimiKumaliga nimetoka evening PT kuumia nakuta mtu anaiita kilaza
Kweli mleta mada umetimiza ndoto zako za miaka mingi tangu 2017
Kupata comments na likes za kutosha [emoji91][emoji91]
😘😘😘😘😘😘😘Tumpe doso kidogo eti? Ngoja aje alambe dagaa na ulimi
Tunamwaga dagaa hapo chini kisha aokoteze na ulimi
Hajawahi kuwa na akili huyo na si ajabu kuchomeka neti upande wa Kulia akalala Kushoto.[emoji38][emoji38][emoji38]vayolensiii
Kama ni ndoto yako kupata likes mkuu endelea kuifukuzia. Mimi nasaka dough mkuu kama una ujuzi wa umeme au metallurgy niambie nikupe kazi.Kweli mleta mada umetimiza ndoto zako za miaka mingi tangu 2017
Kupata comments na likes za kutosha [emoji91][emoji91]
Mhhh hana ubongo maumivu hawezi skia mana hata hisia zimekufa ni mtambo wa CCM huo.Tumpe doso kidogo eti? Ngoja aje alambe dagaa na ulimi
Tunamwaga dagaa hapo chini kisha aokoteze na ulimi
Basi tukablockMhhh hana ubongo maumivu hawezi skia mana hata hisia zimekufa ni mtambo wa CCM huo.
Aaache makasiriko sasa
Tafuta kitabu cha Mark Manson kitakusaidia sana kuielewa hii statement yakoGuys hamna mtu anaekukataza kupost ishu unapost nini
Mtu unakuta yeye almost thread zake hazielewekagi inaacha maswali mno kwa sisi wasomaji
Post as much as you can, mingle as many as you can is up to you
Kikubwa kaa chini afu fikiria unayopost yanaleta image gani
I come in peace
Haya MAVILAZA na MAZIRO ya humu ni MAFEKIIII, usiyachukulie serious.niliwekaga uzi wakutafuta mke humu chaajabu watu wakaupotezea😄😅😅
Unaweza fafanua kinachoifanya kazi ya bodaboda kuwa kazi ya laana?Lema kakosea au ameshindwa kutetea hoja yake tu
Kazi zile ambazo wewe binafsi unazifahamu kama ni kazi za laana bado hupeleka chakula mezani kusomesha na kujenga
Kusema sababu hizo tu ndiyo kufanya kazi fulani isiwe ya laana hazitoshi
Kwa hiyo wewe na Lema nakuwekeni kundi moja kwamba mmeshindwa kutetea hoja zenu
Nashkuru Mirembe ipo Dodoma huko huko najua atakuwa sehemu salama kabisa.Basi tukablock
Hamjakatazwa kupost hizo mada critical,so punguzeni makasiriko nyie vipanga wa mchongoMakasitiko gani? Hizo ni findings! Anawapa elimu majuha waelewe ,waache kushabikia mada za kipumbavu....Wabongo hawapendi kuambiwa ukweli ndiyo tatizo ,ukimwambia ukweli mnagombana na ndiyo maana unafiki unakuwa mwingi.
Yachane hayo MAVILAZAZZ na MAZIROOOMakasitiko gani? Hizo ni findings! Anawapa elimu majuha waelewe ,waache kushabikia mada za kipumbavu....Wabongo hawapendi kuambiwa ukweli ndiyo tatizo ,ukimwambia ukweli mnagombana na ndiyo maana unafiki unakuwa mwingi.
Hasira kali, kunywa maji kwanza kidogo. Take a sipBROOOO... MAVILAZA na MAZIRO yamejaa humu yameshika hatamu na yana nguvu kuliko MGAMBO WA JIJI.
Kila kitu wanajua wao, ukiweka mada wanavamia wao, wanajebebisha na kunyanduana kwa kuchati.
Magari wanayo wao, madem wakali wanamiliki wao, mboro kubwa wanazo wako, kila kituu...
NI MAFEKIII MAMBURULAAAZZZZZ hayana lolote!!! Vibamia makapuku yanashindia CHACHANDU na VIMCHUZII vya mgahawa.
Maxence Melo afanye kuyafurusha kabla jukwaa halijafa hili maana watu wote wenye akili wanakimbia ili kuyapisha haya MAVILAZAAZ na MAZIROO yasiyo na upeo wowote.
Sasa Kama ni za kipuuzi si ufanye kuziignore tu,kutoa povu hapa that means you give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala,