Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Karibu tuufinye 😊
 
Attachments

  • 16785584537272433921713322053177.jpg
    16785584537272433921713322053177.jpg
    245.4 KB · Views: 6
Hasira kali, kunywa maji kwanza kidogo. Take a sip
Yaani hapa nilipo NASAGA MENO!! MAVILAZA na MAZIRO yanaangamiza jukwaa kimzaha mzaha!!

Watu ambao kweli wanatomba hawana muda wa kuja kunyanduana kwa kuchati mtandaoni!!! Sex chat ya kazi ganii! Huna nguvu za kiume au kibamiaa tuu!

Mwanaume ni kutomba, sio kujibebisha na makahaba mtandaoni!! Wengine tupo humu kwa ajili ya kuwasoma wabobezi kama kina KIRANGA na NYANI NGABU, sio kuja kufanya SEX CHAT

Watu makini kama KIRANGA unawasoma huku unaokoteza vimisamiati vya ugoko na kuvinakili chini kwenye kijikaratasi ili na wewe ukatambe navyo mahali

Sasa haya MAVILAZAZZ na MAZIRO unajifunza nini? Kama kutomba si natomba mke wangu na malaya mtaani kibao

MAVILAAZAAZZ na MAZIROO tupuu.. MAFEKII
 
Wacha kila mtu afanye apendalo ila kwasasa bora uandike point kwenye sio jf
 
Likes kwani zinaliwa mkuu? Kufagilia likes ni mental case unless uwe unalipwa based na likes unazopata,labda kwenye jukwaa la kupata zawadi JF kwa kuanzisha mada ambapo mwenye likes nyingi ndiyo anashinda
Mkuu King Kong hawa watoto wajuaji sana. Hebu nikuombe mkuu upumzike achana na hivi vilaza. Naheshimu sana michango yako.
 
Kwa kuwa viongozi wakuu wanapitia humu,napenda kutoa ushauri mmoja,

Uwezo wa kufikiri kwa vijana waliozaliwa 1995 na kuja juu unazidi kushuka,ukifuatilia mada zao za mitandaoni ni vichekesho,ukisema uende kwenye vijiwe vyao ukisikiliza wanayoyajadili muda mwingi unachoka,ukikutana nao kwenye madaladala ni yale yale tu, mazungumzo ni mpira na muziki tu,

Tanzania itakuja kutawaliwa na wageni miaka ijayo,vijana wetu wanajua kusoma na kuandika kizungu zaidi kuliko uwezo kuchambua mambo kwa upana katika nyanja zote za kimaisha na matokeo yake lawama za ajira zimekuwa nyingi huku fursa zikiwa zimewazunguka kila upande,

Nakionea huruma kizazi kijacho cha nchi hii,vijana wa Naijeria wanajiona wao ni wenye nguvu Afrika kimawazo na kiutafutaji,sisi tunabaki kupambana na vitu vya kipuuzi,

Tuanze kufundishana mambo ya msingi tumechoka na mada za ngono huku mtaani unga upo juu na maharage pia lakini madini ya Nikel na Copper(Critical Minerals kwa ujumla) yamejaa na yanasoko kubwa huko nje ila hapa yanachimbwa na wageni wakati tungeweza hata kuungana km vijana tukachimba wenyewe na kubadili maisha yetu na kusaidia familia zetu
 
Unakuta mtu kiuhalisia nj jinsia ya kiume lakini humu Jf ana utambulisho wa kike. Sasa huwa najiuliza mtu wa namna hii ana akili kweli kichwani? Point ya kutaka kutambulika mwanamke ni nn? Ndio maana mimi nimekuwa mzito sana kuingia Jf siku hz. Mambo ya kijinga ni below 10% yaliyobakia yote ni ujinga wa kutupotezea muda na bando tu.
 
Kwa kuwa viongozi wakuu wanapitia humu,napenda kutoa ushauri mmoja,

Uwezo wa kufikiri kwa vijana waliozaliwa 1995 na kuja juu unazidi kushuka,ukifuatilia mada zao za mitandaoni ni vichekesho,ukisema uende kwenye vijiwe vyao ukisikiliza wanayoyajadili muda mwingi unachoka,ukikutana nao kwenye madaladala ni yale yale tu, mazungumzo ni mpira na muziki tu,

Tanzania itakuja kutawaliwa na wageni miaka ijayo,vijana wetu wanajua kusoma na kuandika kizungu zaidi kuliko uwezo kuchambua mambo kwa upana katika nyanja zote za kimaisha na matokeo yake lawama za ajira zimekuwa nyingi huku fursa zikiwa zimewazunguka kila upande,

Nakionea huruma kizazi kijacho cha nchi hii,vijana wa Naijeria wanajiona wao ni wenye nguvu Afrika kimawazo na kiutafutaji,sisi tunabaki kupambana na vitu vya kipuuzi,

Tuanze kufundishana mambo ya msingi tumechoka na mada za ngono huku mtaani unga upo juu na maharage pia lakini madini ya Nikel na Copper(Critical Minerals kwa ujumla) yamejaa na yanasoko kubwa huko nje ila hapa yanachimbwa na wageni wakati tungeweza hata kuungana km vijana tukachimba wenyewe na kubadili maisha yetu na kusaidia familia zetu
Yaani ni bora SAMIA ATAWALE MPAKA MILELE kuliko haya MAVILAZA na MAZIROO tunayoyaona mtandaoni na mitaanii

Uelewa duniii ni MATAKATAKA hayajui chochote zaidi ya kumeza madawa ya kuongeza matako.

Nikipiga kura nitapiga ya kumpa SAMIA URAIS WA MILELEE watuongoze yeye na genge lake la msoga mpaka kiama.

Kizazi cha MATAKATAKA
 
Usifanye mambo kua magumu Mkuu.

Humu Kuna Madaktari, Kuna mwingine ni Mwalimu... Mwingine Mwanasheria kama Pasco...Mwingine Muhandisi ... Mwingine Mfanyabiashara ...Mwingine Hana Kazi..Mwingine mwanachuo. Kuna Madereva humu, Kuna mafundi Ujenzi humu .n.k

Sasa Kila mmoja akisema ajikite kwenye Profession yake Kila siku ,unadhan humu JF kutanoga ??? , au Mimi mtu wa Afya niende kuchangia Mada za Uinjinia. ,au Mimi nichangie Mada za Sijui Kati ya Nairobi na Dar ipi nzuri? Sijui DODOMA na Mwanza wapi pazuri .... Mimi binafsi nitakua nmefanya matumizi mabaya ya Akili yangu .

Humu Ndani Kuna nyuzi ambazo Mimi hata iweje Sitokaa kuzifungua baada ya Kusoma Vichwa vya habari..

Kwa Mfani... Uzi wa Mikeka na kubeti... Toka nijiunge JF sijawahi kuufungua.... Uzi wa jF usiku wa manane, Uzi wa JF nipe likes..hizi Mara ya mwisho kufungua ni mwaka 2017 n.k n.k

Lakini hizo nyuzi Kuna watu wanazielewa sanaaa .

Watu hao sio wajinga Wala nini , ni Mahali ambapo ukiachilia mbali taaluma zao, hapo ndipo wanachangamsha akili

Mimi binafsi hata Ukinita mjinga ,poa tuu ,you are awesome ila ukweli ni kwamba, kwenye UZI WA KULA TUNDA KIMASIHARA, HUNIAMBIII KITU ....NITAUCHANGIA ULE UZI MPAKA SIKU MOJA RAIS SA100 AKIWA JUKWAAN ASEME "KAMA MULE JF KUNA ID YATAITWA CARLOS THE JACKAL, WANANGU NAWAAMBIENI ILE ID INAKULA KIMASIHARA SANA MPAKA INATISHA AU NDIO MKONGO??.

Hapa penyewee nipo naweka sawa Mbususu fulan nataka niile Asubuhi ,alafu usiku Nile mbususu ya yule Bidada nilowaelezea kwenye Uzi wa masihara !!.

Yaan hizi nyuzi za ujinga ujinga, ndo tunakutania hukooo Kwa pamoja

Unawezakuwa umesoma lakini ukawa mjinga.
 
Nigga Kwa mbali unataka kuniaminisha una akili ila kadri navyojaribu kusogelea Ubongo wako nakuona Hauna akili.

Nimekuambia, mtu anaweza kua na Profession Fulani, ila sio muda wote aandike masuala ya profession yake, Kuna wakati anaamua kuandika mambo ya kijiiiiinga ili mradi siku ziende.

Ngoja nikuulize, Wewe nyuzi zako zote ni za Kiprofession au maandiki yako yote ulowah changia humu ni ya Kiprofession??.

Mbona kama wewe ndio ngumbaru?

Unataka kusema huna vitu vyenye tija vya kimaisha vya kuleta humu mbali na hiyo profession yako uchwara?
 
Wewe ni mpuuzi na story zako za kijinga. Wewe jamaa sijui ni gasho au ni mpenda sifa sana! Maana mada zako za wanawake unajiona mwamba kumbe unajidhalilisha tu.

Kuna muda kama umelewa gongo bora uwe unakaa kimya tu sio kuandika upuuzi wako kisa eti kuna wajinga wanakuunga mkono kwa mada zako za kijinga.
Sasa mijimitusi ya nini mkuu??mpe tu hoja zako naye akujibu kwa hoja ..Kukashifiana sio unyama mwaisa au unanambiaje??
 
Siku hizi hapa JF ukija kwa lengo la kuelemika utaambulia ziro.
Natamani iwepo namna ya kuignore Jukwaa zima.

Wajinga wanazidi kuongezeka, na elimu zao za degree.
Kwani elimu ni mpaka uone madesa mkuu,?mbona ukiwa unataka kuelimika unaelimika tu hata kwa mada hizi hizi za kawaida,elimu ni kitu chochote ambacho kimekufunza jambo ambalo mwanzo hukuwa unalijua.
 
Back
Top Bottom