Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
- #701
Nasema ukweliTuliza hasira mkuu,dunia iendee taratibu hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema ukweliTuliza hasira mkuu,dunia iendee taratibu hii.
Sure mkuuSiku hizi hapa JF ukija kwa lengo la kuelemika utaambulia ziro.
Natamani iwepo namna ya kuignore Jukwaa zima.
Wajinga wanazidi kuongezeka, na elimu zao za degree.
Hueleweki broKwani likes na comments nyingi ndiyo zinaleta ugali mezani? Nenda FB kamuangalie Vunja Bei akipost kitu comments zake hazizidi 50 lakini ni bilionea ,sasa angalia kina jumalokole na rueben wakipost likes kama zote lakini wanazibuliwa kwa afuishirini.
Ona sasa unakuja kutangaza nafasi za ajira humu ndani. Kuna uhusiano gani sasa?Kama ni ndoto yako kupata likes mkuu endelea kuifukuzia. Mimi nasaka dough mkuu kama una ujuzi wa umeme au metallurgy niambie nikupe kazi.
Alichoindika jamaa ndicho wewe ulichokisema kwenye hizo aya mbili za juu.Mleta mada acha kujitoa ufahamu. Walio JF ndo hao watanzania tulipnao maofisini na mtaani . Sasa nikuulize ukiwa mtaani umewahi Kuta topic zipi zenye tija zinazojadiriwa? Hata maofisini ni haya haya mambo mepesi yanayo kula muda wao.
Hiki ukionacho ndo reflection ya jamii tuliyonayo. Usije zani Kuna watanzania tofauti na hawa unaowasoma mind zao humu JF na kuwaita wapumbafu.
By the way unateseka nini ? We nenda JF inteligency ukasubiri Uzi mmoja after one week . Huku Kwa walaji wa kimasihara waachie wenye akili zao za utelezi
Palina umeshindaa aisee,Vizuri kwa kuelewa somo
Haya we mbuzi genius, umegundua nini Cha maana au bado una ilalamikia serikali kwa kukunyima ajira🤔🤔Jukwaa limeangamizwa na MAVILAZAAZ na MAZIROO pamebakiiii na matakataka tuu huwezi kujifunza lolote.
watu Makini kama akina KIRANGA na wengineo imebidi wakimbie na kupisha MAMBURULAA
Jeshi la MAVILAZA lina nguvu kuliko mgambo wa JIJI.
Jamiiforums imeangamiaa hakuna tena sensitive topics ni maushubwada tu ya MAVILAAZAAZ na MAZIROOO
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Haya we mbuzi genius, umegundua nini Cha maana au bado una ilalamikia serikali kwa kukunyima ajira[emoji848][emoji848]
Una hoja, ntakusikilizaSisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao).
Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).
Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.
Hili jambo nime observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.
Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).
Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.
Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.
Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.
Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).
Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.
Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.
Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.
Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.
NONSENSE.
Wengi hawataki ukweliUna hoja, ntakusikiliza
Walio wengi ni vilaza, lazima wachukieWengi hawataki ukweli
No trend intended. Refresh as you like ia ukweli ni kuwa ujinga una mashabiki wengiMakuubwa!! Kwahiyo unaanzisha mada ili itrend! Hapa kila mtu kaletwa na hitaji lake wengine tumekuja kurefresh huwezi nilazimisha kuwa serious all the time na hiyo haifanyi kuwa nimekuja hapa kujiuza kuwa na heshima kidogo sio kila mtu muuzaji wala mnunuzi. Na kama una akili sana kama unavyojisifu nenda mashuleni huko ukafundishe wanetu usifosi mitandaoni
Nimecheka sana kama unataka kufika Canada jaribu kweny platform za wakenya utapata pakuazia ingia tik tok,kiufupi lango jepesi la kufika nje Kwa East Africa Kenya inaweza kuwa ni rahisi zaidi kuliko bongo wa Tanzania ujamaa unaendelea kututafuna jaribu Kenya mim mwakajana niliunganushwa na mkenya na jamaa yupo sinza pale anapeleka watu Qatar sema mim tu Kuna vitu vilikua havijakaa sawa nikashindwa kwenda ila mwanangu alienda kabisa ngoja nikutaftie namba yake nikutumie ujaribu kuongenayeNiliumia sana nikaamini kweli kila mtu ataubeba mzigo wake.yani namwomba mtu anisaidie jinsi ya kutimiza ndoto zangu ananiambia niwe SHONGA ndo nitatusua kimaisha dash htr