Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Humu mitandaoni usitafute kujenga hoja au kubishana na mtu chill soma like, comment, humu hatuhitaji kushupaza shingo. Nimecheka sana kujua ww ulikua unataka kubishana tena kwa kuparamia comment ambayo ipo huru sijamreply mtu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Hili lenyewe ni tatizo
 
Humu mitandaoni usitafute kujenga hoja au kubishana na mtu chill soma like, comment, humu hatuhitaji kushupaza shingo. Nimecheka sana kujua ww ulikua unataka kubishana tena kwa kuparamia comment ambayo ipo huru sijamreply mtu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Hili lenyewe ni tatizo
Haya
 
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao).

Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).

Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.

Hili jambo nime observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.


Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).

Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.

Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.

Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.

Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).

Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.

Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.

Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.

Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.

NONSENSE.
shida ya wabongo kuchagua dhambi na kujikuta, wewe nawe walewale tena inawezekana ni zaidi
upuuzi tu umeandika hapa.
 
Ni kweli kabisa nchi hii ina watu wa hovyo sana. Jukwaa la mahusiano na mapenzi ni kama jukwaa la ngono maana mada nyingi ni za ngono na wachangiaji lukuki. Hata majukwaa mengine mada zenye wachangiaji wengi ni zile zenye uhusiano wa ngono.
Ukiwaambia wanakuja kwa nguvu kukurarua ila mimi huwa sitishiwi na vilaza. Wenye hoja tu ndio ninaoweza kutishika nao.

Hawa wengine naenda nao sambamba.
 
Back
Top Bottom