Mpenzi msomaji je ushawahi kukaa chini na kujiuliza ni ma professor wangapi ma billionaire duniani?,au waalimu? ambao ndo wataalamu wa kufikiri inavyosadikika?,
Hawa ndo chanzo cha umaskini..sina maana kwamba nawachukia au nawadharau la hasha ila ni kutokana na mifumo mibovu ya elimu iliyopo nao ndo wanaihubiri au kuisimamia.
kivipi?,
Mara nyingi tumesikia haya maneno.MWANANGU/MWANAFUNZI SOMA SANA PATA MAKSI ZA JUU ILI UJE KUPATA KAZI NZURI YENYE MSHAHARA MKUBWA.
huu ni ujinga kwa sababu mtu akiajiriwa una kuwa na usalama wa kazi tuu lakini unakuwa hauna uhuru wa kiuchumi{financial freedom}.
unapoajiriwa na kampuni unafanyia kazi watu wengi ambao mnagawana nao mshahara pasu kama hivimshahara wako unakatwa haya kabla hujapokea.:
kodi ya serikali
makato ya bima
makato ya benki
makato ya vyama vya wafanyakazi
Alafu ndo unapokea hela yako ndo maana tumesikia wafanyakazi wengi wakilia sana juu ya makato kuwa ni makubwa sana..baada ya hapo unakwenda nyumbani na iyo hela ambapo zinakwenda katika vibobo vya kukutia umaskini ili urudi tena kazini ambavyo ni kodi ya nyumba .maji.umeme na ada za watoto na kama muflisi gari unanunua mafuta na ku li lipia kodi zake.
Huenda ujanipata vizuri sasa utanipata nachomaanisha.
Ni kuwa huyu mwajiriwa hana vitega uchumi miradi ambayo ingemuingizia pesa za kutosha maisha yake yote ndo maana baadhi ya waajiriwa wanapo staafu hufa gafla kwa sababu ya ukkata.
EMBU TUMUANGALIE MWEKEZAJI.
WAWEKEZAJI WENGI MA BILIONAIRE HAWANA DEGREE KWA MFANO.
BAKHRESA WA AZAM
PATRICK NGOWI.TAJIRI MTOO NAMBA MOJA TANZANIA
BILL GATE WA MICROSOFT
JOHN D ROCKEFELA WA STANDARD OIL OF AMERICA
MARK WA FACEBOOK
na wengine wengi unaweza ni PM.
Ma investor wote unajua wanakatajwe kodi?
ni baada ya kutoa garama zote za uendeshaji na ile faida iliopatikana ndo inakatwa kodi.
Mpenzi msomaji bwana HENRY FORD aliwahi kusema thinking is the hardest work there is that is why so few people engage in it.
2;:Wapendwa wasomaji nimepata PM nyingi sana wakitaka vitabu vya Robert kiyosaki na nimewapatia in terms of soft copy na audio.kama na wewe unataka njulishe ntakutumia kwa e mail au basi au njia yoyote ile. nicheki
weyosi@yahoo.com