OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Hellow wakuu
Tulifundishwa kuishi kwa kutegemeana kwa mazingira,
Kila kiumbe kina nafasi yake ktk ecosystem
Ukiwaua swala wote itatokea competion ya kufa mtu among predators, vitoweo vitaisha simba wataanza kufa mmoja mmoja kwa kupigania au kukosa chakula
Urafiki na umoja wa simba utayumba kila mtu atakuwa adui wa mwenzake
Kilichotokea leo ni sawa na hiki kwenye picha
Tutegemee competion kali ya wenyewe kwa wenyewe hapo lumumba
Mbuga inaenda kukauka