OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,315 Reaction score 13,269 Apr 12, 2025 #1 Hellow wakuu Tulifundishwa kuishi kwa kutegemeana kwa mazingira, Kila kiumbe kina nafasi yake ktk ecosystem Ukiwaua swala wote itatokea competion ya kufa mtu among predators, vitoweo vitaisha simba wataanza kufa mmoja mmoja kwa kupigania au kukosa chakula Urafiki na umoja wa simba utayumba kila mtu atakuwa adui wa mwenzake Kilichotokea leo ni sawa na hiki kwenye picha Tutegemee competion kali ya wenyewe kwa wenyewe hapo lumumba Mbuga inaenda kukauka
Hellow wakuu Tulifundishwa kuishi kwa kutegemeana kwa mazingira, Kila kiumbe kina nafasi yake ktk ecosystem Ukiwaua swala wote itatokea competion ya kufa mtu among predators, vitoweo vitaisha simba wataanza kufa mmoja mmoja kwa kupigania au kukosa chakula Urafiki na umoja wa simba utayumba kila mtu atakuwa adui wa mwenzake Kilichotokea leo ni sawa na hiki kwenye picha Tutegemee competion kali ya wenyewe kwa wenyewe hapo lumumba Mbuga inaenda kukauka