Ukitaka mwanamke akuheshimu, usitoe siri za mapungufu yake, usimkebehi wala kumnyanyasa, Bali uwe chombo cha kumtia moyo na kumfariji

uzuri wao, hawafanani tabia wote na hata wao wenyewe hawajielewi wanataka nini.
 
Hizi treatment wanawake au mabinti wa kisasa huchukulia kama mbwe mbwe za kimapenzi tu na si mambo muhimu katika safari ya mahusiano.

Kwao swala la muhimu ni pesa na ndio kitu wanahusudu. Mwanaume ambaye anamtatulia mwanamke shida zake za kifedha ndie ana nafasi kubwa ya kuwazwa na kuwekwa kichwani na akilini mwa huyu binti sio kwasababu za kimapenzi ila kwasababu za kidunia.

Umasikini gazi ya kaya ndio umetengeneza haya, mabinti wanatoka familia zenye vipato duni kama sio wastani hali inayopelekea wao kukosa mahitaji yao ya ziada ama muhimu. So unaweza mfanyia hizi mbwembwe sijui kumfanyia massage, kumbeba, kuoga nae, kupika nae, kumtamkia maneno mazuri, kumfungulia mlango wa Uber, kumbebea pochi yake, kumletea mauwa ila kwake ikatranslate kuwa ni vitu vidogo vidogo vya kufurahisha akili na sio vitu muhimu kwenye akili yake.

Wapo mabinti ambao hawana njaa kutokana na malezi mazuri familia wanazotoka wanatosheka na kidogo na hawana matarajio makubwa na anapotoka kitu atahangaika na yeye akipate au atasaidiwa kwao na wewe hatokulazimisha umpatie kama sharti la kuwa nae kimahusiano. Hawa ni wachache sana na wao ukiwapata still unatakiwa uwe na kipato cha kuwasapoti.

So kimsingi mahusiano ya sasa ni kama biashara tu unalipia kuwamo ndani yake ndio maana wasio na pesa kutwa nzima wao kulia mapenzi yanaumiza au wanahujumiwa hisia. Wapo sahihi kulia maana asili ya mapenzi haihusishi pesa hata kidogo bali matendo ya kujaliana tu.

Sasa kama tumeshafikia hapa basi wanaume tuchague aina ya wanawake ambao tukitumia pesa zetu kwao basi inakuwa ni faida na sio upotezaji wa pesa. Tutafute mwanamke anayejua kutuheshimu sio kwa kuigiza bali ile heshima ya mke kwa mume wake, tutafute anayepika vizuri, anayejua usafi, anayejua kusimamia biashara ya kulinda rasilimali za mume wake, anayetokea familia ambayo haina njaa na tamaa za hovyo, mcha MUNGU, anayejua malezi, asiye na mazoea ya hovyo na wanaume wengine na kadhalika. Hizi sifa zitatupa thamani ya uwekezaji sawa kabisa na pesa tunazotoa.
 
Kabisa Kiranja mkuu, nimeshangaa siku moja napata mtu analalamika kutukanwa na hawala wa mumewe, na matusi yote ya nyeti zake ndiyo kama ilivyo, kajuaje kama siyo mwanaume kumpa hadithi hawala, huu ni ulimbukeni mkubwa tunao wanaume.
Kuchepuka siyo shuka au kapu la kutoa siri za mwenza wako.
 
Mtu mzima anasimlia stori za teenagers, hizi stress buana, wewe kwako umejaza sprays wakati hata milo mitatu shida loh!

Hii haina rika wala umri. Kuheshimu mke, jipangieni siku za kuwa wenyewe huku mkimumbushana mambo mazuri. Pia maluviduvi kama aliyoyasema Bujibuji Simba Nyamaume yakizingatiwa kesi za wanandoa zitapungua sana.
Halafu kama alivyosema Bujibuji Simba Nyamaume wanawake wanapenda vitu vichache sana. Na atakujeshimu sana.

Sasa wewe mtu gani wiki nzima inapita haujawahi hata kumpapasa mkeo mgongoni kwa mahaba mpaka analala.
 
Mke anakuona kama nyapara, sio fair
 
Kwahyo ukikutana nayo utazama chumvini kwa mahaba asijue Kama umejua[emoji4]
Hizi kuzama chumvini ni nini? Najaribu kuudadavua huu msamiati sipati jawabu. Au ndio kwenda kwao kujitambulisha kwa wazazi? Au ndio kumwendea kwa waganga kuangalia nyota zenu kama zinaeendana?
 
Hizi treatment wanawake au mabinti wa kisasa huchukulia kama mbwe mbwe za kimapenzi tu na si mambo muhimu katika safari ya mahusiano.

Kwao swala la muhimu ni pesa na ndio kitu wanahusudu. Mwanaume ambaye anamtatulia mwanamke shida zake za kifedha ndie ana nafasi kubwa ya kuwazwa na kuwekwa kichwani na akilini mwa huyu binti sio kwasababu za kimapenzi ila kwasababu za kidunia.

Umasikini gazi ya kaya ndio umetengeneza haya, mabinti wanatoka familia zenye vipato duni kama sio wastani hali inayopelekea wao kukosa mahitaji yao ya ziada ama muhimu. So unaweza mfanyia hizi mbwembwe sijui kumfanyia massage, kumbeba, kuoga nae, kupika nae, kumtamkia maneno mazuri, kumfungulia mlango wa Uber, kumbebea pochi yake, kumletea mauwa ila kwake ikatranslate kuwa ni vitu vidogo vidogo vya kufurahisha akili na sio vitu muhimu kwenye akili yake.

Wapo mabinti ambao hawana njaa kutokana na malezi mazuri familia wanazotoka wanatosheka na kidogo na hawana matarajio makubwa na anapotoka kitu atahangaika na yeye akipate au atasaidiwa kwao na wewe hatokulazimisha umpatie kama sharti la kuwa nae kimahusiano. Hawa ni wachache sana na wao ukiwapata still unatakiwa uwe na kipato cha kuwasapoti.

So kimsingi mahusiano ya sasa ni kama biashara tu unalipia kuwamo ndani yake ndio maana wasio na pesa kutwa nzima wao kulia mapenzi yanaumiza au wanahujumiwa hisia. Wapo sahihi kulia maana asili ya mapenzi haihusishi pesa hata kidogo bali matendo ya kujaliana tu.

Sasa kama tumeshafikia hapa basi wanaume tuchague aina ya wanawake ambao tukitumia pesa zetu kwao basi inakuwa ni faida na sio upotezaji wa pesa. Tutafute mwanamke anayejua kutuheshimu sio kwa kuigiza bali ile heshima ya mke kwa mume wake, tutafute anayepika vizuri, anayejua usafi, anayejua kusimamia biashara ya kulinda rasilimali za mume wake, anayetokea familia ambayo haina njaa na tamaa za hovyo, mcha MUNGU, anayejua malezi, asiye na mazoea ya hovyo na wanaume wengine na kadhalika. Hizi sifa zitatupa thamani ya uwekezaji sawa kabisa na pesa tunazotoa.
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Kwa hiyo sasa hivi nyie wanawake hamtaki tena pesa? Mnataka kudekezwa?
 
Back
Top Bottom