Ukitaka Ndoa yako iwe na Furaha; lazima uzingatie hili

Aisee haya uliyoaandika ni sahihi kabisa.....
 
Ahsante kwa muongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Wewe ndio umeingia chaka tena la miba. Neno mfanano lina maana kubwa sana think big.jitathmini kwenye makuzi yako..marafiki..vitu mbalimbali..hata wanandugu pia hujitenga kwa mifanano
 
Nilishawahi kuwa na mweza mwenye tabia za kiswazi mno.kuazima vitu...kwenda vigodoro na tabia zingine za uswahiloni..niliteseka mno sku moja nilijilazmisha kuwa kama yeye na ugomvi uliisha na amani ilitawala.baada ya kimaliza research yangu nakugundua kuwa yy hanikosei makusudi bali ndio hulka yake basi nikamove on.imagn mimi nikipata pesa hata 5000 niliyopewa na ndugu ama hongera ya kuhitisha jambo siwaz kiepe yai nawaza niingize kwenye biashara na ikizaa ndio tutumie sehem ya hiyo faida ila yy mawazo hayo hana..kuna siku nilipewa maziwa lita 30 na mjomba ya kutumia nyumbani ila niliona fursa nikaweka lita tano za nyumbani na lita 25 ndio zilikuwa mwanzo wa biashara inayoniweka mjini ya kuuza maziwa ila yy alitaka tusiyauze tugaie mashoga zake
 
Nimeipenda hii comment yako mkuu
 
Skupingi ofisa ,,Na wapi ntampata wa kufanana Na Mimi maana mpaka sasa naona nakimbiwa tu
 
Skupingi ofisa ,,Na wapi ntampata wa kufanana Na Mimi maana mpaka sasa naona nakimbiwa tu

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Endelea kumtafuta Mkuu.
Jiangalie zaidi wewe upoje, kadiri unavyojijua ndivyo unavyokaribia kumpata wakufanana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…