Ukitaka Porsche Cayenne 3rd generation hafu pesa imepungua basi cheki Honda ZR-V!

Ukitaka Porsche Cayenne 3rd generation hafu pesa imepungua basi cheki Honda ZR-V!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Porsche Cayenne ya 2020+ ni kali kimuonekano sana.
IMG_6337.jpeg
IMG_6338.jpeg

Mchawi ni bei, ya moto hatari. Pamoja na kwamba ni used bila $36,000 ngumu kupata.
IMG_6341.jpeg

Hapo bado ushuru TRA, na running cost zake ni zamoto.

Sasa kama umependa “muonekano” (sio brand) unaweza ukaicheki Honda CR-Z kwa nusu bei.
IMG_6340.jpeg

IMG_6339.jpeg

Latest kabisa ya 2023 unapata kwa nusu ya bei ya Cayenne ya 2020.
IMG_6342.jpeg

Jumlisha na ushuru mdogo na running cost ndogo ya Japanese.
 
Porsche Cayenne ya 2020+ ni kali kimuonekano sana. View attachment 3538272View attachment 3538273
Mchawi ni bei, ya moto hatari. Pamoja na kwamba ni used bila $36,000 ngumu kupata. View attachment 3538275
Hapo bado ushuru TRA, na running cost zake ni zamoto.

Sasa kama umependa “muonekano” (sio brand) unaweza ukaicheki Honda CR-Z kwa nusu bei.
View attachment 3538276
View attachment 3538277
Latest kabisa ya 2023 unapata kwa nusu ya bei ya Cayenne ya 2020.
View attachment 3538278
Jumlisha na ushuru mdogo na running cost ndogo ya Japanese.
Unyama Sana Sema parefu ngoja tutafute hata starlet
 
Hapa aliyekopi Kwa mwenzake ni Nani?
Huu ulimwengu wa magari ungebaki kwenye hybrid Tu kuliko full EV
 
Cayenne sijawahi kuipenda,ingawa uwezo wa kuinunua pia Sina.
Si gari la kuwa noticed na wasiojua magari. Unaweza kuwa nalo akaja mtu na Crown Athlete akahisiwa ana gari la maana kukuzidi. Cayenne imepoa sana sio ya wanunua kuonekana.
 
Back
Top Bottom