Porsche Cayenne ya 2020+ ni kali kimuonekano sana.
View attachment 3538272View attachment 3538273
Mchawi ni bei, ya moto hatari. Pamoja na kwamba ni used bila $36,000 ngumu kupata.
View attachment 3538275
Hapo bado ushuru TRA, na running cost zake ni zamoto.
Sasa kama umependa “muonekano” (sio brand) unaweza ukaicheki Honda CR-Z kwa nusu bei.
View attachment 3538276
View attachment 3538277
Latest kabisa ya 2023 unapata kwa nusu ya bei ya Cayenne ya 2020.
View attachment 3538278
Jumlisha na ushuru mdogo na running cost ndogo ya Japanese.