Ukitaka uheshimike zaidi na Mwanamke kama wewe ni Mwanaume usimsikilize

Sawasawa, kazi yetu ni...to lead, provide, protect and love. Soma Ephesians. Siku njema.Huu ujumbe kanitumia mjomba wangu ,ishi nao.
Oooi.
Yes, indeed ndio hivyo mkuu
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Chukua utakacho na yeye achukue atakacho, mchezo usisimame mpaka atakayebaki na mlio ule wa kupigwa na kitu kizito atakapopatikana.
Nimesema usimsikilize wewe fanya yako yanayokuhusu unaweza ukafanya zaidi au ukafanya kidogo tofauti na yeye anavyotaka akisema niletee kiti wewe mpelekee meza
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mfungua mitaala ya mapenzi na ndoa ili mutoe Degree na PHD manake notes mnajaza Madaftari😅
 
Sina haja ya salamu.

Ninakukumbusha wewe Mwanaume ili uheshimike na mwanamke usimsikilize mwanamke, kwa sababu mwanamke jinsi alivyoumbwa akikwambia anataka ufanye hivi maana yake anataka ufanye vile yaan vice versa is true kwa hio anaweza akakwambia umpe limao kumbe mwenzako anataka umpe ndimu. Sasa ukijichanganya ukafanya hivyo ukachukua limao ukampa sahau kuhusu kuheshimika na yeye.

Ni wewe na akili zako. Sasa akikwambia anataka hivi na wewe ukafanya vile vile anavyokwambia wewe jiandae kudharauliwa utadharauliwa vibaya sana mpaka ujute kuzaliwa. Mwanamke anamuheshimu zaidi mwanaume asiemsikiliza anamuheshimu zaidi Mwanaume anaefanya tofauti na anavyomwambia.

Yaan Mwanaume anaambiwa kitu hiki ila yeye anafanya kitu kingine huyo ndio Mwanamke anamuheshimu zaidi. Akili kichwani mwako. Sasa ukifanya vile anavyokwambia ufanye na wewe ukafanya vile vile anavyokwambia jiandae kupoteza heshima yako.

Nazungumzia kuheshimika sio kupendwa. Unaweza uheshimike ila usipendwe au ukapoteza vyote kwa pamoja kwa hio unapochukua maamuzi jiandae kwa lolote.
ilo tu n rahisi kuanzia leo Lethergo sikusikilizi......😂🤣😅
 
Hapo km uliesema hivyo ni Mwanamke basi unamaanisha 'kuanzia leo Lethergo nakusikiliza'

Hio ndio language ya wanawake akisema hivi anamaanisha vile, akitaka hiki maana yake anataka kile
 
Nondo km hizi unazipata JF tu hutozikuta Facebook, Insta wala X na usishangae washenzi wakakopi wakaenda kuweka huko kwengineko FaizaFoxy umewaingiza mifugo bandani?
 
Sina haja ya salamu.

Ninakukumbusha wewe Mwanaume ili uheshimike na mwanamke usimsikilize mwanamke, kwa sababu mwanamke jinsi alivyoumbwa akikwambia anataka ufanye hivi maana yake anataka ufanye vile yaan vice versa is true kwa hio anaweza akakwambia umpe limao kumbe mwenzako anataka umpe ndimu. Sasa ukijichanganya ukafanya hivyo ukachukua limao ukampa sahau kuhusu kuheshimika na yeye.

Ni wewe na akili zako. Sasa akikwambia anataka hivi na wewe ukafanya vile vile anavyokwambia wewe jiandae kudharauliwa utadharauliwa vibaya sana mpaka ujute kuzaliwa. Mwanamke anamuheshimu zaidi mwanaume asiemsikiliza anamuheshimu zaidi Mwanaume anaefanya tofauti na anavyomwambia.

Yaan Mwanaume anaambiwa kitu hiki ila yeye anafanya kitu kingine huyo ndio Mwanamke anamuheshimu zaidi. Akili kichwani mwako. Sasa ukifanya vile anavyokwambia ufanye na wewe ukafanya vile vile anavyokwambia jiandae kupoteza heshima yako.

Nazungumzia kuheshimika sio kupendwa. Unaweza uheshimike ila usipendwe au ukapoteza vyote kwa pamoja kwa hio unapochukua maamuzi jiandae kwa lolote.
Ndio nnayoyaona sasa kwa wife mara anataka mtindi ,nikimletea mara anasema anataka embe ilimradi fujo tu
 
Sasa si usiwe na ndoa tu. Akushauri ulipe ada ya watoto weww uache ukalewe.

Mkuu, hakuna mtu atakuheshimu kwa kufanya tofauti na amelekezo yake.
 
Inategemea lakn umeoa aina gani ya mwanamke, umeoa ili uheshimiwe na sio muheshimiane! Ur all human!! "Respect each other" usipende heshima heshima sana! Anza wewe kuheshimu Kwanza na wew utaheshimika! Heshimu kila mtu no matter anakipato aina gan? Hata Kama Hana kitu basi muheshimu tu...
 
Sina haja ya salamu.

Ninakukumbusha wewe Mwanaume ili uheshimike na mwanamke usimsikilize mwanamke, kwa sababu mwanamke jinsi alivyoumbwa akikwambia anataka ufanye hivi maana yake anataka ufanye vile yaan vice versa is true kwa hio anaweza akakwambia umpe limao kumbe mwenzako anataka umpe ndimu. Sasa ukijichanganya ukafanya hivyo ukachukua limao ukampa sahau kuhusu kuheshimika na yeye.

Ni wewe na akili zako. Sasa akikwambia anataka hivi na wewe ukafanya vile vile anavyokwambia wewe jiandae kudharauliwa utadharauliwa vibaya sana mpaka ujute kuzaliwa. Mwanamke anamuheshimu zaidi mwanaume asiemsikiliza anamuheshimu zaidi Mwanaume anaefanya tofauti na anavyomwambia.

Yaan Mwanaume anaambiwa kitu hiki ila yeye anafanya kitu kingine huyo ndio Mwanamke anamuheshimu zaidi. Akili kichwani mwako. Sasa ukifanya vile anavyokwambia ufanye na wewe ukafanya vile vile anavyokwambia jiandae kupoteza heshima yako.

Nazungumzia kuheshimika sio kupendwa. Unaweza uheshimike ila usipendwe au ukapoteza vyote kwa pamoja kwa hio unapochukua maamuzi jiandae kwa lolote.
Wewe ni mtu wa kwanza duniani kumuelewa mwanamke
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Ukijifanya kuwasikiliza umekwisha!
 
Acha uongo basi.Mbona wewe ulimsikiliza mama yako hadi Leo hii umefanikiwa.Umesahau alipokwambia usishike moto utaungua na haukushika.Vip kama ungeshika na ukaungua ungekuja leo kutuambia mwanamke akikwambia usifanye hivi fanya tu. Je mama yako sio mwanamke?
 
Huwezi kunielewa nilichomaanisha yaan hutonielewa na hutonielewa kamwe ninachomaanisha ila nimefanyia research ya kutosha ndio nikaja kuandika uzi sijakurupuka from no where
 
Back
Top Bottom