makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kauli ya kwamba Wanaume tusiwe tunapiga Bao katika haya Maelezo yako hapa umeirudia mara Nne ila hujatuambia kwamba Kivipi tusiwe tunapiga hayo Mabao kwa Wake au Mademu zetu.Saikolojia ya mwanaume iko hivi...
Mwanaume rijali always huwa anatamani kulala (kufanya mapenzi) na mwanamke ambaye hajawahi kulala nae kabla.
Si unasikiaga wanasema eti, wanaume ni watu wa tamaa, wao kila mwanamke anamtamani tu. Hiyo ndio sababu sasa.
Yani iko hivi, mwanaume akishamgonga mwanamke, akapiga BAO. Aisee ile 'curiosity' yoote juu ya huyo mwanamke inapotea. Mwanamke anakua hana jipya tena. Hata kama kamfukuzia miezi sita. Hata kama katumia 300,000 kumpata. Yaani hata kama ni mke wake wa ndoa!!
Kama huamini, mchukue mwanaume aliye kwenye ndoa, muweke upande mmoja wa chumba chenye kioo transparent 🪟. Halafu upande mwingine wa chumba wapange wanawake watatu. Mmoja awe mke wake, wawili wawe wanawake ambao pengine hawajui/anawajua, lakini hajawahi kuwagonga. Kioo kiwe transparent upande mmoja, wanawake wasione upande wa pili alipo mwanaume.
Halafu sasa muulize mwanaume angetamani afanye mapenzi na mwanamke yupi katika hao.
Heheheheee... Akiwa 'honesty' haitotokea akachagua eti amgonge tena mke wake, hakuna jipya pale! Always atakua curious 'kumpiga mashine' mwanamke ambaye hajamkaza before.
Ujue sababu ni nini? Mke wake ashampiga MABAO sana tu. Kiasi kwamba ile 'curiosity' ishagapotea kitambo.
SASA KIPI KIFANYIKE?
Utafiti umefanyika. Na imethibitika kwamba.....
Ukitaka usimchoke mwanamke mapema, jitahidi wakati mnafanya mapenzi usiwe unapiga BAO. Usiwe unamwaga. Yaani ukishamwaga lazima umkinai mwanamke. Hata awe na msambwanda wenye ujazo wa 5000 kg.
Kama ni mkeo wa ndoa?
Fanye uwe unapiga BAO mara chache mno, hasa pale mnapotarajia kupata mtoto.
Mie wanawake karibu wote kumi na moja (11) nilowahi kuwa nao/kuwagonga... Leo hii ukinambia niwarudie yaani sina kabisa appetite nao. Nataman nipate mwanamke 'mpya'.
Kupiga BAO ni climax stage ya mapenzi. Mwanaume ukishapiga BAO baaasi end of the story.
Kuna jamaa yangu anaitwa JAFFARY anaishi Goba Njia Nne ananiambiaga, yaani akilala na mwanamke akimaliza tu kumwaga, hamu yote inakata. Anatamani hata amfukuze mwanamke asepe mapema iwezekanavyo.
Ukitaka usimkinai mwanamke mapema, jitahidi usiwe unapiga BAO!
Mwanamke wangu nilonae sasa hivi, tumedumu miezi saba sijawahi kumpiga BAO. Kumgonga namgonga, lakin kumwaga ng'ooo. Siwazii kabisa wanawake wengine. Hajani-kinai.
Mazozei ya 'Kegel' yamenisaidia sana.
Kuna binti sijui kaweka nini kule yaani k tamu ile sijawahi ona,kosa atafanya yeye ila mi ndio ntaomba msamahaMimi napinga nasema SIO kweli.
kuna wanawake wana balaa, anajua mamboz na majambozi kila mara unataka gemu irudiwe,
Kuna wengine wana vishimo utamu vitamu, unapiga bao unahisi kama umemwaga na ubonngo kabisa.
Wanawake wengi tu wapo baada ya tendo unatamani urudie nae tena..
Kupiga kimoja na jegeje kulala, ukashindwa kurudia tendo, ni marradhi kwa 100% kama ttu mwanamke ana mvuto kwako.
"Kuhondomola" nmekuelewa vzur xnHeeee! sasa usipomwaga ndio nini tendo linakuwa halijakamilika, kukinai huja na kuondoka mbonaa Mimi mke wangu zikipita siku tatu namtamani tena "kuhondomola" au basi tuseme inategemeana ntu na ntu
🤣🤣🤣🤣🤣"Kuhondomola" nmekuelewa vzur xn
Kabisa me nimetembea sana na wanawake tofauti ila huyu nilio nae sijawai mchoka hata siku moja na yeye hivo hivo piaUmegonga wanawake 11 tu unajifanya unajua mapenzi sie wengine tushagonga hadi 299+ tunakuangalia tu,sikia dogo kuna wanawake wana utamu wa ajabu gusa unate,hawakinaishi,ukiingia hutoki
Kuna watu wana utamu, kuna watu watamu na mafundi.. We acha kabisa ndugu yangu.Kuna binti sijui kaweka nini kule yaani k tamu ile sijawahi ona,kosa atafanya yeye ila mi ndio ntaomba msamaha
Kuna ukweli lakini?Sasa kutakuwa na raha gani kupiga mzigo bila kushusha Walatino mkuu? Si bora useme tu watu wajichukulie sheria mkononi!
Au sio[emoji1787]Kazi nzuri, weka namba ya huyo mwanamke tumpongeze nae.
Muhim sanaAu sio[emoji1787]
Ukweli kwamba?Kuna ukweli lakini?
Basi ni mimi mke wake,nipongeze.Muhim sana
Mkisha sex na sisi mnatuona kawaida sana?Ukweli kwamba?
Inategemea mtu na mtu. Kama mtu alikutamani tu ni kweli akishashusha wagiriki huwa stim inakata mazima. Ila kama anakupenda na mna sync wote wawili hata mkipelekeana moto miaka kumi anatamani tu aendelee.Mkisha sex na sisi mnatuona kawaida sana?
Kuna watu chemistry zinakubaliana, unakuta mtoto mtamu n charming af budah huna kwere nae mna intertwine. Huwezi mchoka manzi huyo wala hakuchokiMimi napinga nasema SIO kweli.
kuna wanawake wana balaa, anajua mamboz na majambozi kila mara unataka gemu irudiwe,
Kuna wengine wana vishimo utamu vitamu, unapiga bao unahisi kama umemwaga na ubonngo kabisa.
Wanawake wengi tu wapo baada ya tendo unatamani urudie nae tena..
Kupiga kimoja na jegeje kulala, ukashindwa kurudia tendo, ni marradhi kwa 100% kama ttu mwanamke ana mvuto kwako.