Ukitaka usiugue kila wakati, tumia njia hii

Ukitaka usiugue kila wakati, tumia njia hii

Mzizimkavu,samahani Nina swali ,km una ufaham juu LA hili,jicho langu LA kulia upande wa juu hucheza sana takribani 3weeks,nini tatizo?
 
Mwanamke akila vitunguu swaumu papuchi inanuka vitunguu swaumu. Nilichukia sana kipindi nafanya hii therapy
 
Hapa hatuzungumzii Edeni products kivyako wewe .Hapa tunazungumzia vitu vya Natural Organic Foods hatuna mpango na hizo Edeni products feki unazo zisema wewe shauri yako.
Ha ha ha! Mkuu, naposema Edeni products namaanisha mfumo wa ulaji wa kwanza kwa mwanadamu ulioletwa na Mungu kule Edeni. Chakula kikuu kilikuwa fruits & vegetables.

Ukisoma biblia kitabu cha Ezekieli, Mungu aliwaambia wanadamu, "Fruits will be for food & their leaves for medicine." Ukitaka andiko nitakupa.
 
Dr ujahainisha kama unatakiwa kunywa kimoja wapo ktk hvyo au vyote kwa wakati mmoja
 
Mkuu shukrani sana, ila naomba kuuliza, hizo punje za kitunguu saumu unatafuna au unameza bila kutafuna?
Unameza bila kutafuna!? Basi zitakuwa dawa hizo!!!.

Tafuna kuchukuchu ndo umeze. Na tumia zile punje ndogo ndogo. Usitumie yale matunguu makubwa.

Na ukumbuke pia vitunguu swaumu ukitumia kwa wangu vina madhara. Si vizuri kwa watu wenye ulcers na low blood pressure.
 

Attachments

  • 1453737120304.jpg
    1453737120304.jpg
    25.1 KB · Views: 52
Back
Top Bottom