ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Ndio kila siku unavitumia hivyo vyakula Mkuu.
Badala ya kutafuna punje ya kitunguu swaumu je naweeza kuweka kwenye mboga ikatosha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kila siku unavitumia hivyo vyakula Mkuu.
Maziwa ni fresh Sio mtindiNamba 4 kuhusu maziwa. Unamaanisha fresh au mtindi?
Nı Dalılı ya kuwaMzizimkavu,samahani Nina swali ,km una ufaham juu LA hili,jicho langu LA kulia upande wa juu hucheza sana takribani 3weeks,nini tatizo?
Unatafuta punje 2 za Kitunguu Saumu kam ni dawa kitunguu Saumu kingine unaweza kutumiakwenye mboga sio mbaya.Badala ya kutafuna punje ya kitunguu swaumu je naweeza kuweka kwenye mboga ikatosha?
Apple ya Azam nı Apple Feki haifai na wala Limau ya Bitter Molel ni Limau feki haifai pia inatakiwa Limau ukanunuwe sokoni ukamuwe wewe mwenyewe nyumbaniivipi apple ya azam na limau kwenye bitter molel
Hapa hatuzungumzii Edeni products kivyako wewe .Hapa tunazungumzia vitu vya Natural Organic Foods hatuna mpango na hizo Edeni products feki unazo zisema wewe shauri yako.Asante. Mimi ni mdau wa Edeni products.
Ndio kila siku unavitumia hivyo vyakula Mkuu.[/QUOTE
Ndugu hembu nifahamishe, kuhusu hii kiru Inaitwa ambari,manake Kuna mtu naona kama anataka uni tempt ja hii kitu,Ndio kila siku unavitumia hivyo vyakula Mkuu.
Ha ha ha! Mkuu, naposema Edeni products namaanisha mfumo wa ulaji wa kwanza kwa mwanadamu ulioletwa na Mungu kule Edeni. Chakula kikuu kilikuwa fruits & vegetables.Hapa hatuzungumzii Edeni products kivyako wewe .Hapa tunazungumzia vitu vya Natural Organic Foods hatuna mpango na hizo Edeni products feki unazo zisema wewe shauri yako.
Utakavyo weza ukitafuna sawa au ukimeza pia sawa sio mbaya.Mkuu shukrani sana, ila naomba kuuliza, hizo punje za kitunguu saumu unatafuna au unameza bila kutafuna?
Unameza bila kutafuna!? Basi zitakuwa dawa hizo!!!.Mkuu shukrani sana, ila naomba kuuliza, hizo punje za kitunguu saumu unatafuna au unameza bila kutafuna?
Maji ya uvuguvugu ni dawa kila Maradhi Maji ya baridi yanatia maradhi tumboni angalia video hiyo hapoMziziMkavu Kwanini maji ya vuguvugu?
Kunywa kwa wakati mmoja ila Maji unakunywa kwa siku nzimaDr ujahainisha kama unatakiwa kunywa kimoja wapo ktk hvyo au vyote kwa wakati mmoja
Kunywa kwa wakati mmoja ila Maji unakunywa kwa siku nzima