Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako

Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako

"Tenda wema uende zako usingoje malipo"

Kauli hii nimekuwa nikiisikia KWA kipindi cha miaka ishirini na nne sasa kutoka KWA bibi yangu..

Ana mika 82 sasa
 
Back
Top Bottom