Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha .
Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo .
View: https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9
View: https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=PF_pLYIWk9exN0aB
Je ni mwanasiasa au watu gani wengine maarufu hawabadilika katika hizi awamu mbili ?