Asilimi 99 ya wanasiasa wanakwenda na upepo, upepo ukivuma kwenda kas na wao wamo, ukivuma kwenda kus, wamo tu, kwa mantiki hiyo wanakwenda na upepo.
Mimi sijaona hata mmoja ambae hajabadilika bali wanaangalia upepo. Wanasoma uelekeo wa upepo na kuufuata kwani kwao hiyo ni FURSA