Makolo mnajua kujifariji.Yanga inaenda kupata anguko kuu kwenye ranking za CAF.
Kwa jinsi miaka inavyowekwa uzito wa zile points za Shirikisho katika mahesabu unazidi kupungua na baada ya misimu miwili utapotea kabisa na hivi timu yenyewe hata kuingia robo fainali ni mtihani tutegemee baada ya miaka 2 washike nafasi ya 20 huko.